godson njamakuya
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 170
- 196
Ok, inakuwajeSimple
Hivi hakuna App mtu unafownload then unaendelea na kukata tiketi kila unaposafiri????Nenda booking ofisi ya bus husika utakatiwa ticket ya ki electronic.
Ni kweli, hata wale madalali waliokuwa wanawadaka abiria juu juu na kuwakatia tiketi nao pia mwisho wao umefika.Yale Mambo ya kuombana tiketi njiani ndio yanakufa au sio
Maana ilikuwa ni zaidi ya kelo