ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Habari wadau..
Naomba kuuliza kwa wakulima wa matikiti.
Nimelima sana tikiti lakini wakati wa kiangazi ambazo huwa nakata maji kuanzia siku ya 50 mpaka 55. Nalimia maeneo ya Kigamboni.
Je, kipindi hiki cha masika ambacho jua halipo sana nitarajie ukuaji huu huu au mmea utachelewa kukomaa na utachukua siku nyingi zaidi??
Magonjwa gani nitarajie zaidi kipindi hiki cha mvua nyingi?? Na dawa gani zitafaa zaidi.