ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Dawa huwa ni dudu all,match na selecrom nenda kariakoo sokoni utazipata
Lakini kama kuna ukungu na unyevu nyevu weka blue copper au ebony utaipata duka la pembejeo
Nimelima toka mwiezi jana na nimekutana na mvua. Changamoto hapa ni wadudu wengi na ukungu. Naambatanisha picha ya changamoto nilizokutana nazoHaari yako ndugu
Nimeona post yako kuhusu tikti za masika na kiangazi
Ila mm ninaomba kujua kuhusu muda wakuweka maji kwa wingi shamba la tikitik nikuanzia siku ys ngap had ya ngap??
Na je iliposema unakata maji kuanzia siku ya 55 una maanisha baada ya hapo huweki maji kabisa mpaka kivuna!? Je kuvuna inakuwa siku ya ngap??