Tikiti Maji is Here!!!

Tikiti Maji is Here!!!

tikiti maji

New Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
3
Reaction score
0
Hi wana JF
Habari humu jamvini! mimi ndiyo kwanza nimejiunga humu ndani. Naomba ushirikiano wenu na ushauri inapobidi.
Asanteni sana
 
Karibu sana...
Sijui nini siri ya hili jina lako
la tikiti maji???????
 
mmmh haya majina, sina la kusema karibu sana JF
 
Karibu mpendwa. Nayapenda sana matunda yenye jina hilo.
 
tikiti maji? Hilo jina tata, anyway is just an ID, sidhani kama ipo vile ninavyodhani, karibu JF
 
Karibu sana mdau ktk kiwanja cha jamii kuelimishana na kujua maswala ya kijamii zaidi,
 
Njiti moja huugeuza au huungauza sijakuelewa hapo kabisaaa mkuu
 
Tatizo letu naanza kuliona mapema, ningejiita hili jina kwa lugha yoyote ya kigeni wala pasingekuwa na utata but Kiswahili duh! Don`t do that please, its just an ID. Sijui kwa wale wanaoongea as if wana maana fulani ya hili jina wangenifafanulia. Its just a name like aliyejiita embe.
N`way nawashukuru sana kwa ukarimu wenu. Nimekaribia rasmi
 
Naona tikiti maji, limependwa kila kona! mkuu karibu saaaaanaa! Tunategemea mazuri na mabaya kutoka kwako mkuu.
 
Tatizo letu naanza kuliona mapema, ningejiita hili jina kwa lugha yoyote ya kigeni wala pasingekuwa na utata but Kiswahili duh! Don`t do that please, its just an ID. Sijui kwa wale wanaoongea as if wana maana fulani ya hili jina wangenifafanulia. Its just a name like aliyejiita embe.
N`way nawashukuru sana kwa ukarimu wenu. Nimekaribia rasmi
welcome very, water melon! hear yourself at home.we have happy very for you to be son party (mwanachama) here .senkyu.
(shukrani zote ziwaendee google translation)
 
Back
Top Bottom