tikiti maji
New Member
- Aug 14, 2010
- 3
- 0
Njiti moja huugeuza au huungauza sijakuelewa hapo kabisaaa mkuu
tikiti maji?....karibu
Ujio kama wa aliyekuwa Bwabwa vile
halafu wewe shem....kwa nini nikumiss hivi lakini....uliendaga wapi?
Mambo ya 2010 hayo shem....
welcome very, water melon! hear yourself at home.we have happy very for you to be son party (mwanachama) here .senkyu.Tatizo letu naanza kuliona mapema, ningejiita hili jina kwa lugha yoyote ya kigeni wala pasingekuwa na utata but Kiswahili duh! Don`t do that please, its just an ID. Sijui kwa wale wanaoongea as if wana maana fulani ya hili jina wangenifafanulia. Its just a name like aliyejiita embe.
N`way nawashukuru sana kwa ukarimu wenu. Nimekaribia rasmi
Hi wana JF
Habari humu jamvini! mimi ndiyo kwanza nimejiunga humu ndani. Naomba ushirikiano wenu na ushauri inapobidi.
Asanteni sana