simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ume elewa nilichoandika ? Observation tikiti maji limepoza sana ladha ukilinganisha na matunda mengine. Post yako tu Nina mashaka na elimu yako. Elimu niko vizuri tu usitie shaka.wewe ni mwanamke ama mwanaume...? nnawasi wasi na kiwango cha elimu ulicho nacho
Shule gani uliyosoma ambayo haikukufundisha umuhimu wa matunda mwilini...?Siujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa tikiti maji. labda matikiti yawe na faida nyengine mwilini hili ladha tikiti maji ziro kabisa.
Hata mie naliona limepoa sana ukilinganisha na matunda mengine, baada ya tikiti linafata tangoUme elewa nilichoandika ? Observation tikiti maji limepoza sana ladha ukilinganisha na matunda mengine. Post yako tu Nina mashaka na elimu yako. Elimu niko vizuri tu usitie shaka.
Duh ulimi wako una tatizo!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa tikiti maji. labda matikiti yawe na faida nyengine mwilini hili ladha tikiti maji ziro kabisa.
Eti what ??? Mi Nadhani tango haina Ladha kabisa bora tikiti kuliko Tango[emoji50]Hata mie naliona limepoa sana ukilinganisha na matunda mengine, baada ya tikiti linafata tango
sikuwa napenda matikiti maji dhamani nilikuwa naona kama maboga mabichiSiujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa tikiti maji. labda matikiti yawe na faida nyengine mwilini hili ladha tikiti maji ziro kabisa.
Amna tunda tamu kama tikiti licha ya utamu tu linakata mpaka kiu. View attachment 373933
Alaf naskia kuna haya ya njano kweli Tz yanapatikana? Anayejua ladha yake