Tikitimaji Zao ambalo laweza kukupa mamilioni ndani ya siku 75

Kilimo kinacho weza kufanywa na kila mtu sio kilimo, Tikitiki maji zinalimwa almost Mikoa yote ya Tanzania na karibia wilaya zote za Tanzania zinalima tikitiki maji,hii inayosha kutoa picha kamili.
Ni kweli hili zao sasa hivi linalimwa na watu wengi sana katika maeneo mengi lakini wengi wao ni wakulima wadogowadogo wanaolima nusu ekari mpaka ekari moja.
 
Hebu tupishe mkuu .leo wknd hatuhitaji mada za kufikirika
 
Watanzania wenzangu tumevulugwa nanini? [emoji23]
Achana nao hao ndio waliingiaga kwenye kilimo kwa kisoma makaratasi bila kupata maarifa wakaanza na heka 10 wapate mil 200 kikawanyoosha kwa hiyo wana hasira kweli, mkianza jaman tafuteni maarifa kwa wakulima wengine muanze kwa udogo kwanza kupata uzoefu
 
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa bei nafuu,kabs,....
Wewe dalali na mfanyabiashara mnakaribishwa,....
bei maelewano,
Mawasiliano 0620743697.
 
2005 kuna mwamba alinipa hizi hesabu, alionekana na ari kubwa na soon angekuwa a young Bakhressa. 18 years later bado kaajiriwa kwa Bakhressa [emoji1787]
 
Asante
 
☑️
 
Ndopale unapofanya swali la hesabu unaambiwa utafute umri wa Babu na mjukuu, unapata majibu mjukuu Ana umri mkubwa kuliko wa babu......
 
Nilishawahi kulima matikiti Chanika. Sitasahau nilipanda Mashimo mengi. Sasa mziki ulikuwa shina moja linachukua ndoo ndogo ya lita 20 kwa siku na nilikuwa nina mashina 300. Kwahivyo ni ndoo ndogo 300 kila siku. Na chanzo cha maji kilikuwa ni kisima cha futi 10. Tulikuwa tunachota ndoo ndogo zaidi ya 150 kwa siku tuko mtu 2. Tulimwagilia mpaka tukafikia sehemu tukanyoosha mikono juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…