TikTok imetangaza kusitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025

TikTok haitakuwepo kuanzia Jumapili unless Trump acheleweshe
 

Attachments

πŸ—£οΈ Mtandao wa Tiktok rasmi wafungiwa nchini Marekani baada ya wabunge wa seneti kushinikiza mtandao kufungiwa kwasababu kubwa za kiusalama wa nchi .

β€” Moja ya sababu kubwa ya mtandao huo kufungiwa ni kuhusishwanishwa na serikali ya nchini China ambapo wabunge wa seneti wamedai kuwa mtandao huo kwa kiasi kikubwa unamilikiwa na serikali ya China .

β€” Waliendelea kwa kusema kuwa mtandao huo upo Marekani kwa kasi maalumu ya kudukua baadhi ya taarifa za siri za watumiaji wa nchini Marekani na kwamba hawana uwakika juu ya privacy zao kama zitakuwa salama .

β€” Marekani walitoa offer ya pesa kubwa kwa mmiliki wa Tiktok ili kuuza kwa Marekani ila ombi hilo lilikataliwa na kuendelea kuzidisha wasiwasi juu ya mmiliki halali wa mtandao huo

β€” Marekani walihitaji ifunguliwe tiktok ambayo itakuwa haina uhusiano na nchi yoyote interms of data store yaani server ziwe special kwa wamarekani pekee ili kuwapa uwezo wa kuzilinda data zao zisiwe manipulated na mtu yoyote yule ilaombi hilo nalo limekataliwa mpaka kupelekea kufikia huku .

β€” Raisi mteule wa Marekani Mhe Donald Trump amesema kuwa anaonelea kutoa muda wa miezi 3 ili uendee kutumika nchini humo pinfi atakapo apishwa kuwa raisi wa 47 wa Marekani .

β€” Wamarekani wengi wameonekana kutoridhika na jambo hilo kutokana na kuwa wengi walikuwa wakinufaika na mtandao huo .

Unadhani wa Marekani wapo sawa juu ya jambo hili zungumzia kwa kuchukulia ishu ya ulinzi wa taarifa .

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…