Til ya tigo ya uwakala

dj1000

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
 
mkuu laki nane nakupa na offer ya mpesa
 
Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,

Nauza til laki 6. Kama unataka nitafute kwenye hizi namba. 0783456044 au 0757638202
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…