A Annonymous JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 688 Reaction score 1,126 Apr 7, 2021 #1 Nina shida na lines ya M- Pesa na Tigopesa na ana full documents zote na niko Dar es Salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na TigoPesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
Nina shida na lines ya M- Pesa na Tigopesa na ana full documents zote na niko Dar es Salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na TigoPesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
chief_ JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 830 Reaction score 1,395 Apr 7, 2021 #2 Vipi kwenye maduka yao umeenda vick? Sent using Jamii Forums mobile app