Timaya ft Kiba

Timaya ft Kiba

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
hii kitu weka mbali na watoto..naona wasanii wa west africa wameanza kumuelewa kiba.
 
Comment namba #4 imeniacha hoi usiku huu

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Wimbo sijawahi kuusilikiza lakini mbaya.
 
Timaya ni moja ya wasanii ninaowakubali mno.... Kama kiba hajapwaya kwenye hiyo ngoma basi mwanzo mzuri kwake
 
Back
Top Bottom