Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Status
Not open for further replies.

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Baada ya kuomba kolabo na mwanadada huyo na kuishiwa kutoswa baada ya Vanessa kusema hamjui, Timbulo baada ya ngoma yake aliyoshirikiana na Baraka inayoitwa usisahau kufanya vizuri amesema mwanadada huyo kwa sasa atakuwa keshamjua.

Timbulo alishalalamikia wasanii wa kike na kudai wana mashauzi kwani wakiombwa kolabo wanakataa sababu ya umaarufu.
 
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Ila nadhani na mimi nimerogwa mi ile mofupa naitamani kinoma! Wakati kwa kawaida am sucker kwa vyura sijui fupa yule kanifanya nini wallahi!
 
Vanesa mdee naona nyimbo zilizo mpa u star ni zile alipiga colabo tu
 
Vmoney mashauzi ys nini? Yanakupunguzia credibility yako. Kwani ungekataa tu kawaida ungepungukiwa nini?
 
simlaumu Vanessa kwa hili,angekuwa anajishusha hadhi ukizingatia huyo anayetaka kumshirikisha hajui kuimba
 
Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu[emoji23] [emoji23]
Wakishavaa mawigi, wakaweka rangi za kope, na angel faces wanakua kama jini basi wanahisi ni wazuri balaa lakini hamna kitu kabisa. Kunako 6x6 ndo bureee kabisa hamna lolote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…