kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao walianzishe. Kushindwa kesi kwa Mzee Magoma na wenzake ni manusura kwa Simba.
Wachambuzi na wanahabari wetu msishabikie vitu vinavyourudisha nyuma mpira wetu, tafuteni maudhui wenye kuusogeza mbele mpira wetu. Ni aibu chombo cha habari kulala sebuleni kwa mzee Magoma ili kupata maudhui ya kuchochea Yanga isambaratike.