Time 100 The Most Influential: Paul Kagame

Sipingi wala sielewi kama kweli huyu jamaa anafanya kazi kujenga nchi yake; siju kwa vigezo vipi na sijawahi kuwa na ineterest kujua. Ila kila mtu anajua kuwa Rais Habyrimana na Rais wa burundi wakitokea kwenye usuluhushi Arusha ndege yao ilitunguliwa na kuwaua hao maRais. Kwenye huo utunguaji wa hiyo ndege Kagame alihusika directly. Baada ya hapo ndipo genocide ikaja. Jiulize: Kwa nini walihitaji kutungua ndege? Na kwa nini kila ukitaka ufanyike uchunguzi yeye anakuja juu? Huoni kwamba ingekuwa sio kutungua ile ndege genocide haingekuwepo?
 
Mhhh....i will come back
 
Last edited:
Bongo hatujapitia vita mpaka kuendesha nchi kama yule mwembamba kama uzi....msitake maisha yale...mtashidwa hata kugongesha passport pale airport.
Mtashidwa hata kupata affidavit kwa kuwa secretary kashika file laki bila kumpa kitu hupati....utashidwa kumuona katibu mkuu pale madini.
Nchi ile ina watu 10M tu na all land is accupied..hawana natural resource hawana mbuga za wanyama...zaidi ya wale sokwe....Sie tuko 40M 3 x zaidi...na wajuaji balaa
wanategemea maonyesho genicide kupata baadhi ya mapato...most of their budget come form US and belgium.

Leo ukiwaaambia watanzania kila mwisho wa mwezi waache kazi zao kwa masaa sita kusafisha nchi...kila mtu na ufyagio....utampata mwanahalisi?uko wanafanya sasa.
Au ndio mpaka inviromental day tutangaze kwenye mail...na kuna watu bado wanasepa ?Nchi hiyo hakuna democrasia ndio maana unaona imefika
hapo ambapo mchunguzi(mwandishi) mmoja tu anatupa overview ya kutaka tuamini kuwa ni salama kabisa na ndege ya uchumi inapaa.....

Hii isitufumbe macho kuacha kuangalia upende wa pili wa shiling je wananchi wanaishije uko ndani kunakosifiwa....Ni viboko,kunyimwa huduma za kijamii,Matibabu,maji...uki sepa
mara mbili tu....na ni rahisi ku track hili kama vile kukamata walevi main gaite... tu ukikataa kufyagia.Ushaona mnafagia wakati kuna mwanajeshi anazunguka mitaani?
Bar zote hufunguliwa saa kumi na moja baaada ya kazi...other wise uuze amata(Maziwa)na beer itakuwa ni exception kwako.Sioni cha kumsifia huyu bwana...bado tanzania ni mahali salama kuishi kabisa..ndio maana hata wao wanataka kujiunga nasi..wanafikiri wanaweza kwepa rushwa kama wataingia?
 
Eti Rwanda safi! Nani kawadanyanya?? Ni choka mbaya tu..hofu imejaa nchi nzima!

sasa kwa nini Kagame hataki kuachia ngazi baada ya 15 ya utawala?

ana damu ya genocide bado mikononi mwake: hata Wahutu FDLR kule Kongo wanaogopa kurudi kwao!
 

I agree with you on this.........

Ohh no..sisi tuna amani na umoja..Na mshikamano wa kitaifa..ambao warwanda hawana...

Hii inachanganya kidogo....na sisi sijui tutaendelea ku-whine mpaka lini na huu wimbo bandia......something drastic need to happen to our country rather than keeping on saying "amani, umoja na mshikamano" while dem guys are looting our resources
 

IO

Kwa kweli sikupenda Kagame alivyoingia madarakani.......but one thing though...hata hao viongozi uliowataja nao waliua sana tu na ndio maana walikuwepo kule Arusha.......they were both DEMONS....sasa devil mmoja kamuua devil mwenzie...na present Devil anafanya kazi nzuri kwa wananchi wake (trust me)......kumbukumbuku za genocide si rahisi kuzifuta kabisa......uki-check historia ya hawa watu wahutu na watutsi huu ugomvi umetoka mbali sana........in the future itabidi wagawane tu ardhi ili kila kabila lijitawalie kipande chake....kama mambo yanavyoendelea huko Sudan......najua Kagame anajitahidi kufanya kazi nzuri kutokana na Guiltness aliyonayo

Come back to our mafisadi....hata AIBU hawana wanaenda kuficha pesa na utajir wa nchi yetu huko visiwani....damn!
 
- Kama kawaida ya wazungu wakishapata rais compromise katika Africa,kuna wakati walisema haya haya juu ya Mobutu, and then Museveni, sababu zinafhamika kwamba katika marais hawa wawili US ilikuwa inachukua madini almost bure kutoka Zaire, kutokana na contributionn za hao marais wawili,

- Sasa mchezo umegeuka, Kagame ndiye mwenye upper hand na madini ya huko Zaire, haooo! tayari wameanza haiwezekani Kagame akawa a good president kwa US, huku Europe wanamtafuta kwenye court ya human rights kule Paris na The Hague, sasa Kagame anawapa US madini bure kutoka Zaire na ameamua kukata ties zote na France, na hata kujitoa kwenye Francophone Community ndio maana wanampigia chapuo, wamesahau kwamba hana tofauti yoyote na Saddam ambaye kama wanasema ukweli kuhusu Kagame basi walimuonea bila sababu na hata kumnyonga!

- Haiwezekani rais mwenye damu za wananchi Millioni moja akawa a model, hawa Wamarekani waache uongo na unafiki, halafu watuambie Hitler alikuwa monster, hivi ni lini umewahi kusikia Ujerumani kulikuwa na rushwa under Hitler? Uongo mwingine bwana sometimes unachosha sana, wakuu hapa ninapoishi nina majirani familia moja ya kikimbizi toka Rwanda, infact nyumba yao kule Rwanda, imeporwa na Kagame binafsi anaitumia kama nyumba yake ninaongea nao mara kwa mara baba yao yuko jela Arusha, baada ya Kagame kupora nyumba yao akamchongea huyu mzee watu kwa makusudi kwa wazungu kule Arusha, akashikiwa Nairobi mpaka leo anaoza jela kesi hakuna kisa Kagame hataki arudi Rwanda,

I mean kuyasikia kwa mbali ni one thing na kuyaona kwa karibu as I do ni another story, hata siku moja Kagame hawezi kuwa saafi, mikono yake ni michafu mno, ni kama kusema mwizi asifungwe kwa sababu hela alizoiba alikwua anazitoa kwa masikini, that is pathetic! Kagame AKAMTWE NA apelekwe The Haque haraka sana kama walivyomfanya yule mwanamama msaidizi wake!

Respect.

FMES!
 


Pointi tupu!
 

......kawadanganye wapuuzi wenzako wasioelewa,yaliyotokea Rwanda kila mtu anajua na Kagame hakuanzisha genocide,huyo Habyrarimana ndio chanzo cha mauaji yote yaliyotokea Rwanda,ndege kuanguka au kutokuanguka genocide ingetokea tuu na ilishapangwa na ndugu zako interahamwe ambao walifanikiwa kuua millions,unajiita interested observer kumbe BS tuu!
 
Eti Rwanda safi! Nani kawadanyanya?? Ni choka mbaya tu..hofu imejaa nchi nzima!

sasa kwa nini Kagame hataki kuachia ngazi baada ya 15 ya utawala?

ana damu ya genocide bado mikononi mwake: hata Wahutu FDLR kule Kongo wanaogopa kurudi kwao!

.....huna idea FDRL ni nini,na kwa nini uskikae kimya tuu maana hizi BS ulizoandika ni kuonyesha jinsi ulivyo mtupu na huelewi kitu!
 
American press is bias sometime, this guy is criminal. He is rensponsible for the death of hundreds on Congolise.
American they once love Mobutu, so nothing special on this peace. However, Muungwana ni msiba. The guy fail leadership test.
 

....hakuna ukweli wowote ulichoandika na The Hague haimtafuti Kagame na hana mashtaka yeyote ya kujibu na huyo mama msaidizi wake wafaransa wamejikuta hawana kesi ya kumweka ndani na sasa kisharudi Rwanda,nyie watu acheni kuwa bias na hao millions waliokufa walaumu interahamwe na Congolese wasiojua wanafanya nini,na FYI Rwanda na Congo wamerudisha balozi zao tayari,Congolese bila kagame still leo wangekuwa chini ya dikteta Mobutu
 
Koba,

Vipi mzee? unamtetea sana Kagame: vipi? Watu wanasema ana damu ya watu waliouwawa mikononi mwake!

Hata afanye mazuri kiasi gani: kuna damu ya watu inamlilia!

Angepelekwa The Hague au hata hapo ICTR Arusha ili ajitetee..ukweli ujulikane!
 

Labda you need to read this article from the Guardian. The guy is a fraud and criminal, one of the reason why i will never support EAC is this guy. I don't trust him and every time when i look at his eyes i read six words K-I-L-L-E-R. Kagame and Museveni are the axes of evil

 


Kagame decided to become American pupet, and that is nothing new in the contintent which is full of betrayal and hypocrite. We can call him any name that we wish ( God's Angle, The Helper, African Hero, Mr.President and etc) but, that doesn't change the history that he once killed hudreds of people for his own political reason. The question is if he real love the country and demokrasia then why he keep funding guerilla fighters in Congo? 40 people from his cabinet are indicted by spanish judge this was just a year ago.

Why he does not want the international investigation against people who involved kwenye kuangusha ndege? Na haya ndio majibu yake akiulizwa kuhusu uchunguzi "We cannot turn the clock back nor can we undo the harm caused, but we have the power to determine the future and to ensure that what happened never happens again"

I don't know about you guys, but i dont want this guy even closer to my citizen. He is what he is a "FRAUD"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…