Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa
ILA,
Ila naamini Uchumi sio hesabu.
Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo.
Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma bora zilizopelekwa kwa haki katika jamii masikini zile.
Mi naona haya magraphs wanayotutolea kila siku yanatokana na patterns ambazo sio the real represantation ya maisha halisi ya watu mtaani, yani ni kama wanapima ukuaji wa maisha wa mtu aliekuwa na maisha bora kwa miaka 20 au 30 mfululizo.
Yani ni kama represantation zao ni kuhusiana ni UKUAJI wa fedha wanazopata kutokana na kuongezeka kwa mianya ya kunyonya fedha za watu ila sio UKUAJI wa ubora wa maisha na akiba kwa wananchi wa kawaida sana.