I saw the some politicians they kneel down to seek sympathy, this is bad pictures to deceives us for kneel down is better to know early your arrogance and brotherhood you shown in five yrs a go remained as remarkable.
Damu watu 300. Ben na Azzory hazitamuacha salama milele, heri Dr Mtaalam ameenda kutubu madhabahuni na kukataa kutumika kuua watanzania kosa madaraka why?
Hakuna cha sympathy au grace wanayoweza kuipata kutokana na hatua wanazochukua kwa wananchi, kuna baadhi ya viongozi bado wanadhani tupo 1980 wakidhani wananchi ni wajinga kiasi cha kuwahadaa kwa mbwembwe.