Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Mkuu ni muhimu kuwa jeshini lazma ujishtueMdomo wa mseven akiwa kijana, mbona umeungua hivyo, hakuwa akitumia yale majani kweli.
Man ina maana mbiliMbona man tu, au wanawake haiwahusu hiii?
Hiyo ya kwanza umejitungia au ipo kwenye dictionary?Man ina maana mbili
Man-Binadamu
Man-kuonesha jinsia ya mtu wa kiume
Hivi miaka hio mwaka ulikua unahesabika kua na siku 365?Yeuwii Mwenye Enzi Mungu tusaidie tuwe kama Nabii Musa aliye ishi miaka 300 na alikufa na nguvu zake walahi [emoji2972]
Hiyo ya kwanza umejitungia au ipo kwenye dictionary?
Au umeichanganya na human?
LaZima Hadi kuingia msituni risasi zipite juu ya vichwa nilazima uwe na kitu Cha ziada ubongoniMdomo wa mseven akiwa kijana, mbona umeungua hivyo, hakuwa akitumia yale majani kweli.
Ng'ombe hawezi kua binadamu or human lazima awe (mtu) hivyo binadamu ni mtu (man)Hiyo ya kwanza umejitungia au ipo kwenye dictionary?
Au umeichanganya na human?
Nina uhakika hata wewe ukisoma ulichoandika huwezi kuelewaNg'ombe hawezi kua binadamu or human lazima awe (mtu) hivyo binadamu ni mtu (man)
Kwenye jinsia kwatafsiri yabandiko lake nikweli mtu (man) limebeba maana ya jinsia mbili
Lakini tayari kashaonesha picha zinaonesha man wenye jinsia ya kiume
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Then........ Cc :......... [emoji1787]Ahsante kwa taarifa...
SkankaMdomo wa mseven akiwa kijana, mbona umeungua hivyo, hakuwa akitumia yale majani kweli.
Yuko sawaHiyo ya kwanza umejitungia au ipo kwenye dictionary?
Au umeichanganya na human?
Ngoja wafikeHivi Mugabe ana uhusiano wa kindugu na Bichuka?View attachment 2391132
anashangaa ivo tu ma president wengi wanavutaLaZima Hadi kuingia msituni risasi zipite juu ya vichwa nilazima uwe na kitu Cha ziada ubongoni
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app