Time is ripe for Precisionair take over of the defunct Air Tanzania

Precisionair itakuwaje "Tanzanian national carrier" wakati wafanyakazi wake wengi ni akina "Njoroge" na "Kamau" . Au labda hakuna Watanzania wenye ujuzi?
 
Precisionair itakuwaje "Tanzanian national carrier" wakati wafanyakazi wake wengi ni akina "Njoroge" na "Kamau" . Au labda hakuna Watanzania wenye ujuzi?
si haba tatizo ushazoea national carrier kuwa na wafanyakazi kama wakina Abulwahaad, Craig n.k. haikuingii kichwani mweusi mwenzio kuwa mwekezaji na btw over 95% ya wafanyakazi wa Precisionair ni Wabongo
 
Hata Abulwahaad na Craig hawatakiwi kuongoza National carrier....

..... Sasa sijui itakuwaje National Carrier kuwa "KENYA AIRWAYS" na kuongozwa na Alphonce Kioko. Mkuu, mbona unatushusha namna hiyo?
 
Hao PrecisionAir wenyewe nao wamebweteka mijidege yenyewe bado ya kizamani wamejaza mapropelor
<br />
<br />
wana kazi ya kugandisha watu airport na technical problems zao.
 
Hata Abulwahaad na Craig hawatakiwi kuongoza National carrier....

..... Sasa sijui itakuwaje National Carrier kuwa "KENYA AIRWAYS" na kuongozwa na Alphonce Kioko. Mkuu, mbona unatushusha namna hiyo?
hujui maana ya national carrier, maana yake ni airline inayotoa huduma zinazo-cover a bigger party of the country being a main airline! haimaanishi national carrier lazma iwe inaongozwa na wahusika wa nchi hiyo! Hata hiyo Kenya Airways ilikuwa inaongozwa na foreigners kabla ya wakina Naikuni kupewa uongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…