Time Tables Za Vyuo Vyetu

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
363
Baada ya kuisoma hii article ya Bw. Mwalupindi jana kwenye gazeti moja la kila siku nilianza kukumbuka enzi zangu nilipokua mlimani na nilikua na swali moja tu-"how did i survive?". Test za kushtukizana (tulikua tukiziita sudden deaths!), maswali ya kukomoana ambayo hata mwalimu hajafundisha.Wengi mtakumbuka Ossoro, sijui bado yupo?Kaijage? Tunatumia muda mwingi sana madarasani na libraries matokeo yake wenzetu wenye vijicertificates tu vya ng'ambo wakija wanatutoa nishai maofisini kwa kuwa wanaijua kazi zaidi, naamini imefika wakati wa mfumo wetu wa elimu ya juu kuanza kutuandaa kwenda kufanya kazi tofauti na sasa ambapo majority tunasoma tu ili tuweze kufaulu mitihani. Hebu nisikuchoshe kwa mengi, na wewe enjoy article ya Bw. Mwalupindi, namshukuru sana kwa article hii.

Varsities timetables should be changed to suit global demand

2007-11-05 10:38:26
By Jamil Amon Mwalupindi

 
Mr. Mwalupindi has a point, a relevant one too, his mastery of the language notwithstanding.
 
Wajifunze kutoka chuo kikuu huria. Kama mfungwa anaweza kupata digrii katika chuo huria kwanini muda usipatikane kwa vyuo vingine kwa wanafunzi kusoma na kufanya kazi?
 
Nafikiri hicho kizazi cha kitishiana Vyuo Vikuu muda wake sasa unakaribia kuisha! Kuna damu mpya na watu wapya na mawazo mapya!
Pole sana Kankansungu!
 
asante kwa taarifa


kiaaaazi kweli kweli/jobtruetrue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…