Time travel na Incarnation ni sawa?

Time travel na Incarnation ni sawa?

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
According to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia alirudi kama nafsi (soul) kwenye mwili wa Yohana Mbatizaji, je hizi zana sio Future Travel au Incarnation tu?

Tunaambiwa kwenye ufunuo Mwanakondoo alishachinjwa kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, so kusulubiwa kwa Yesu was a just time travel tu?

Mungu anatangaza mwisho kutoka mwanzo so Time Travel ni spiritual concept more than scientific proof?
Wajuvi naomba tuelimishane hapa
 
Time travel ipo kwenye dini sababu kama mungu alishakujua kabla hujawekwa tumboni, maisha yako matendo yako yote yalishajulikana hyo si ni time travel, sababu Mungu anamwanga si ndio na science inasema the fastest thing ever recorded ni light, pia theoretical kama ukienda faster than speed of light unaweza unaweza kurudi back in time kwa hyo kama Light aliyokuwa nayo Mungu ikiwa na nguvu kuliko light tuliyo nayo duniani basi anaweza kwenda popote in time present, past kwake si kitu.
 
Kwa mtazamo wangu, time travel haipo kwenye bibilia.

Time travel ni kusafiri kwenda kwenye nyakati tofauti, unakuwa hapo kimwili.

Yanayoonekana kwenye bibilia, mambo ya kutabiri yajayo, ni harbinging na precognition.

Japo kimsingi Yahweh anaweza yote kwahiyo akiamua kumpa mtu uwezo huo anafanya.

Yeye hawezi kwasababu anaishi nje ya muda, yupo kwenye muda wote.
 
Time travel ipo kwenye dini sababu kama mungu alishakujua kabla hujawekwa tumboni, maisha yako matendo yako yote yalishajulikana hyo si ni time travel, sababu Mungu anamwanga si ndio na science inasema the fastest thing ever recorded ni light, pia theoretical kama ukienda faster than speed of light unaweza unaweza kurudi back in time kwa hyo kama Light aliyokuwa nayo Mungu ikiwa na nguvu kuliko light tuliyo nayo duniani basi anaweza kwenda popote in time present, past kwake si kitu.
Got you, So in spiritual realm Time Travel ipo kwa uwezo wa Mungu na kwenye Physical realm tunaishuhudia hivyo sababu ya Uwezo wa Juu wa Mungu kuwa fast zaidi ya Mwanga wa physical world
 
Kwa mtazamo wangu, time travel haipo kwenye bibilia.

Time travel ni kusafiri kwenda kwenye nyakati tofauti, unakuwa hapo kimwili.

Yanayooekana kwenye bibilia, mambo ya kutabiri yajayo, ni harbinging na precognition.

Japo kimsingi Yahweh anaweza yote kwahiyo akiamua kumpa mtu uwezo huo anafanya.

Yeye hawezi kwasababu anaishi nje ya muda, yupo kwenye muda wote.
Kurudi kwa Elia ndani ya Mwili wa Yohana Mbatizaji je hii tunaiitaje? Ni Incarnation or Time Travel?
 
Time travel ipo kwenye dini sababu kama mungu alishakujua kabla hujawekwa tumboni, maisha yako matendo yako yote yalishajulikana hyo si ni time travel, sababu Mungu anamwanga si ndio na science inasema the fastest thing ever recorded ni light, pia theoretical kama ukienda faster than speed of light unaweza unaweza kurudi back in time kwa hyo kama Light aliyokuwa nayo Mungu ikiwa na nguvu kuliko light tuliyo nayo duniani basi anaweza kwenda popote in time present, past kwake si kitu.
Maelezo yako yanakosa knowledge ya time and space
 
Kwa mtazamo wangu, time travel haipo kwenye bibilia.

Time travel ni kusafiri kwenda kwenye nyakati tofauti, unakuwa hapo kimwili.

Yanayooekana kwenye bibilia, mambo ya kutabiri yajayo, ni harbinging na precognition.

Japo kimsingi Yahweh anaweza yote kwahiyo akiamua kumpa mtu uwezo huo anafanya.

Yeye hawezi kwasababu anaishi nje ya muda, yupo kwenye muda wote.
Mkuu Mambo.
Umejuaje mungu anaishi nje ya muda.
Note. Muda haupo , ni kitu kilichowekwa ili kuwasidia binadamu kupata angalu point of reference
 
According to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia alirudi kama nafsi (soul) kwenye mwili wa Yohana Mbatizaji, je hizi zana sio Future Travel au Incarnation tu?

Tunaambiwa kwenye ufunuo Mwanakondoo alishachinjwa kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, so kusulubiwa kwa Yesu was a just time travel tu?

Mungu anatangaza mwisho kutoka mwanzo so Time Travel ni spiritual concept more than scientific proof?
Wajuvi naomba tuelimishane hapa
Time travel is about prediction of future while incarnation is about birth and death.. Though in same facts can be related but not relatively the same
 
Spirituality ni eternity
Yaani viumbe wote wanaoingia kwenye high Dimension hio wanakua hawaexist katika muda kiufupi wanakua immortal
Alfa na Omega hivyo wanaweza kuingia katika muda na kuucontrol wanaenda Past au Future na kutoka!

Hii siri ukiijua utakua huru kweli!
 
Ebu nifungulie code kidogo na Mimi niwe huru ndugu
 
Ukweli ni kuwa time ni illusion. Kwenye reality tuishiyo inatupaswa kukubaliana nayo because it's governed by time, cause and effect, space, na polarities...ila ukivuka hapo tyr vitu kama time na space do not exist.
 
Bible scholars wanakataa time travel na incarnation process ukweli ni huo.. MUNGU anasema nalikujua kabla ya hujawekwa kiunoni mwa mama Yako. Nini maaana yake?
kiunoni mwa mama tena mkuu? so itakuwa tumboni mwa baba au siyo?
 
NGOJA TUWEKE MAMBO SAWA. ... TUSOME BIBLIA TAKATIFU.. UTAELEWA AN GALAU
Yer 1:5...
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
 
Back
Top Bottom