Got you, So in spiritual realm Time Travel ipo kwa uwezo wa Mungu na kwenye Physical realm tunaishuhudia hivyo sababu ya Uwezo wa Juu wa Mungu kuwa fast zaidi ya Mwanga wa physical worldTime travel ipo kwenye dini sababu kama mungu alishakujua kabla hujawekwa tumboni, maisha yako matendo yako yote yalishajulikana hyo si ni time travel, sababu Mungu anamwanga si ndio na science inasema the fastest thing ever recorded ni light, pia theoretical kama ukienda faster than speed of light unaweza unaweza kurudi back in time kwa hyo kama Light aliyokuwa nayo Mungu ikiwa na nguvu kuliko light tuliyo nayo duniani basi anaweza kwenda popote in time present, past kwake si kitu.
Kurudi kwa Elia ndani ya Mwili wa Yohana Mbatizaji je hii tunaiitaje? Ni Incarnation or Time Travel?Kwa mtazamo wangu, time travel haipo kwenye bibilia.
Time travel ni kusafiri kwenda kwenye nyakati tofauti, unakuwa hapo kimwili.
Yanayooekana kwenye bibilia, mambo ya kutabiri yajayo, ni harbinging na precognition.
Japo kimsingi Yahweh anaweza yote kwahiyo akiamua kumpa mtu uwezo huo anafanya.
Yeye hawezi kwasababu anaishi nje ya muda, yupo kwenye muda wote.
incarnationKurudi kwa Elia ndani ya Mwili wa Yohana Mbatizaji je hii tunaiitaje? Ni Incarnation or Time Travel?
Maelezo yako yanakosa knowledge ya time and spaceTime travel ipo kwenye dini sababu kama mungu alishakujua kabla hujawekwa tumboni, maisha yako matendo yako yote yalishajulikana hyo si ni time travel, sababu Mungu anamwanga si ndio na science inasema the fastest thing ever recorded ni light, pia theoretical kama ukienda faster than speed of light unaweza unaweza kurudi back in time kwa hyo kama Light aliyokuwa nayo Mungu ikiwa na nguvu kuliko light tuliyo nayo duniani basi anaweza kwenda popote in time present, past kwake si kitu.
Kivipi mkuuMaelezo yako yanakosa knowledge ya time and space
Mkuu Mambo.Kwa mtazamo wangu, time travel haipo kwenye bibilia.
Time travel ni kusafiri kwenda kwenye nyakati tofauti, unakuwa hapo kimwili.
Yanayooekana kwenye bibilia, mambo ya kutabiri yajayo, ni harbinging na precognition.
Japo kimsingi Yahweh anaweza yote kwahiyo akiamua kumpa mtu uwezo huo anafanya.
Yeye hawezi kwasababu anaishi nje ya muda, yupo kwenye muda wote.
Time travel is about prediction of future while incarnation is about birth and death.. Though in same facts can be related but not relatively the sameAccording to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia alirudi kama nafsi (soul) kwenye mwili wa Yohana Mbatizaji, je hizi zana sio Future Travel au Incarnation tu?
Tunaambiwa kwenye ufunuo Mwanakondoo alishachinjwa kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, so kusulubiwa kwa Yesu was a just time travel tu?
Mungu anatangaza mwisho kutoka mwanzo so Time Travel ni spiritual concept more than scientific proof?
Wajuvi naomba tuelimishane hapa
kifizikia upo sahihiMkuu Mambo.
Umejuaje mungu anaishi nje ya muda.
Note. Muda haupo , ni kitu kilichowekwa ili kuwasidia binadamu kupata angalu point of reference
Ebu nifungulie code kidogo na Mimi niwe huru nduguSpirituality ni eternity
Yaani viumbe wote wanaoingia kwenye high Dimension hio wanakua hawaexist katika muda kiufupi wanakua immortal
Alfa na Omega hivyo wanaweza kuingia katika muda na kuucontrol wanaenda Past au Future na kutoka!
Hii siri ukiijua utakua huru kweli!
Ndio mkuu, kidini Upo sahihi, lakini ukitafuta justification mwenye dini hupati kitu sahihikifizikia upo sahihi
lakini kidini si tofauti?
kiunoni mwa mama tena mkuu? so itakuwa tumboni mwa baba au siyo?Bible scholars wanakataa time travel na incarnation process ukweli ni huo.. MUNGU anasema nalikujua kabla ya hujawekwa kiunoni mwa mama Yako. Nini maaana yake?
NGOJA TUWEKE MAMBO SAWA. ... TUSOME BIBLIA TAKATIFU.. UTAELEWA AN GALAUkiunoni mwa mama tena mkuu? so itakuwa tumboni mwa baba au siyo?
Nitawaletea uzi kamili nilivyo experience masuala ya kiroho na nilivyofanikiwa ku master kufungua code SpiritualEbu nifungulie code kidogo na Mimi niwe huru ndugu