Time travel na Time Machine ni nini ?

Kuweka hili suala kiuhalisia,

Kuna wazee wa miti shamba wanauwezo wakusafiri kiajabu zaidi, anaweza fanya mambo yake kisha akachora mstari chini then akiuvuka ule mstari anajikuta yuko sehem nyingine, means amesafiri from point A to point B within a second
So, kama speed ni kubwa anaweza safiri kwenda the same place ila akafika jana yake au kesho yake ikiwa still nyie mliyeko katika hiyo sehem bado mko katika siku anayosafiri
So anakuwa amesafiri back in time or into the future
 
Du hapa kidogo naomba nifufue mada, ivi mfano nikapata time kachene nikaenda past alafu nikamuua baba yangu kabla mama ajapata mimba ya kunizaa Mimi nini kitatokea?
 
Du hapa kidogo naomba nifufue mada, ivi mfano nikapata time kachene nikaenda past alafu nikamuua baba yangu kabla mama ajapata mimba ya kunizaa Mimi nini kitatokea?
Utaendelea kuwepo hautapotea sababu unaporudi nyuma haimaanishi upo ndani ya muda wako ni umehamia ndani ya muda mwingine kabisa ambao upo parallel na wako!!.. Utakachokuwa umefanya ni kudisturb muda wao tu lakini existance yako itabaki pale pale!.
Kasome The Grandfather paradox na The Bootstrap Paradox
 
Au warudi wamuue Lucifer aliyeleta matatizo duniani lakini nimesoma kwamba ukisafiri kwa realm nyingine kurudi nyuma Huwezi na huruhusiwi kubadilisha chochote turudi nyuma tumzuie Hitler kuanzisha vita vya dunia
 
Au warudi wamuue Lucifer aliyeleta matatizo duniani lakini nimesoma kwamba ukisafiri kwa realm nyingine kurudi nyuma Huwezi na huruhusiwi kubadilisha chochote turudi nyuma tumzuie Hitler kuanzisha vita vya dunia
Wewe hii mada yako imejadiliwa kupitia Hitler's murder paradox ukirudi kumzuia hitler utakachofanya ni kucontradict present na past yako sababu present inaitegemea sana past kudetermine kinachoendelea na hitler ni mchango mkubwa sana kwenye present ina maana ukimuua, watoto na all that happened kwenye present yake itajicontradict na all that happened kwenye present yako!..
Ingawa kwenye time yangu hakuna kitakachojicontradict as there is parallel time factor!. Kuna mmoja huko juu kaongelea ishu ya kustop muda haimaanishi utastop ulimwengu wote ndio ishu kama hiyo!.
 
Mkuu kwenye huu mfano wako kuna kitu nashindwa kuelewa..
Huyu kulwa anapopanda starship na kusafiri kwa kasi ya mwanga anarudi na kumkuta dotto ana miaka 60 ilhali yeye yupo vilevile kama alivyoondoka
Ina maana miaka kwa hiyo miaka 50 anapokuwa kwenye starship mwili wake unakua haufanyi kazi?(freeze).. Kwamba katika hiyo safari yake hakuna atakachoona huko anapokwenda sababu muda umesimama?
hata moyo utakuwa haudundi na viungo vyote mwilini vinasimama kwa miaka 50?
 
Mkuu how is that possible to cross the black hole so as to go future??
Maelezo kidogo hapa japo nimefufua mada ya mda mrefu ila imenivutia
 
Du hapa kidogo naomba nifufue mada, ivi mfano nikapata time kachene nikaenda past alafu nikamuua baba yangu kabla mama ajapata mimba ya kunizaa Mimi nini kitatokea?
Dah swali lako ni hatr mkuu ila ninachowaza mimi ni kwamba vitu vilivopita haviwezi ku be affected ila utawez kurud na ku observe pekee and not destroy them
 
Tunawaza pamoja mkuu
 
Historia yako itabadilika unaweza ukaruɗi huku ukajukuta umegeuka kuwa chura..
Dah jf ni patam kuna watu mnawaza nje ya box san na ndo inatakiwa iwe ivo kwan hapo ndo unatumia uwezo na akil yako kwa kiwango cha rami (this is serious nt joke)
 
Kwa mujibu wa relativity, kwa huyo Kulwa, kila kitu kitakuwa cha kawaida, yani ataona muda unaenda kama kawaida.

Ukichukua mfano extreme wa ku freeze muda ni vigumu kueleweka na hauwezekani kufikiwa kwa vitu vyenye mass (akizidi kukaribia speed of light, ndivyo uzito wake unavyozidi kukaribia infinity). Mfano mzuri zaidi ni wa Kulwa ku age kwa maiaka kama 10 wakati Doto ana age kwa miaka 60.

Mfano huu unapigia mstari ukweli kwamba:-

1.Muda ni relative (Relativity Theory ya Albert Einstein)
2. Speed inapunguza kupita kwa muda kwa aliye katika chombo kinachokimbia kwa mujibu wa macho ya mtu aliyesimama ambaye hakimbii.
3.Kwa mtu aliye katika chombo kinachokimbia, muda utakuwa unaonekana kupita kama kawaida
4. Kinadharia, ukiweza kufikia speed of light unausimamisha muda
5. Kiukweli huwezi kufikia speed of light, unavyozidi kuikaribia uzito wako unazidi kukaribia infinity
6. Speed inaongeza uzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…