Time ya kujisifia hii lolote we jisifie tu JF ni yetu

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Misifa kwangu kawaida napenda sana sifa ila si za kijinga (SIPENDI_UJINGA)

JINA LANGU NI ADIMU NA NI MAARUFU nashukuru hili [emoji120]

[emoji125]

Haya zamu yako kujisifia
 
Misifa kwangu kawaida napenda sana sifa ila si za kijinga (SIPENDI_UJINGA)

JINA LANGU NI ADIMU NA NI MAARUFU nashukuru hili [emoji120]

[emoji125]

Haya zamu yako kujisifia
We ni Mhayer???
 
me sio hb wala sio brazamen lakin huwa siwatongozi huwa wanashoboka tu sijui nna nn?
 
Kwa utawala huu nna isoma namba kweli kweli

Kwa ki dhungu sasa[emoji116]

"In this administration am reading the numbers true true"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…