Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Huu ni Wimbo mzuri sanarola ya rikado banks haichuji,ipigwe mida flan mibovu utatamani pasikuche
Murder she wrote ni chaka demus....nyngi sana wapo wale jamaa TOK wanayo ya kutosha
yupo shaggy na church herthean
kuna busy signal na madude kibao
kuna moja inaitwa murder she wrote sijui ya nani
kuna mwamba been man na dude lake back it up
Grossary ambayo hawaruhusu kukonect blue yangu sirudi Tena aseeNime subscribe kuna counter huwa naenda Bluetooth naruhusiwa nitazipiga zote
NgwearMitungi mikasi sijui Nani aliimba.....!