Timetable hii kwa mbongo hata umpe mshahara kidogo atakubali

Timetable hii kwa mbongo hata umpe mshahara kidogo atakubali

MFILIPINO

Senior Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
157
Reaction score
11
35590_186993114648881_100000145808749_705215_7089177_n[1].jpg
 
Labda ofisi ya babu yako na awe amekudekeza mpaka mwisho...
 
Sishangai mbona wapo watu kama hawa Maofisini mwetu!!!!! Au naongopa jamani??
attachment.php
 
That shows how wavivu tulivyo, lakini tunapenda kuishi maisha ya juu and then tunataka maendeleo. Ha haaa kwa staili hiyo tutabaki tunapiga gwaride mwanzo mwisho. Ufisadi ndo umefika hm kwa mtindo huo.
 
Labda ofisi ya babu yako na awe amekudekeza mpaka mwisho...

Mbona ndivyo ilivyo..... tena hapo kama ni Jumatatu ongezea nusu saa ya kubishana kuhusu game la Jumamosi..., na kama 2 hours za kuongea kwenye simu kwa kutumia landline ya ofisi...
 
Back
Top Bottom