That shows how wavivu tulivyo, lakini tunapenda kuishi maisha ya juu and then tunataka maendeleo. Ha haaa kwa staili hiyo tutabaki tunapiga gwaride mwanzo mwisho. Ufisadi ndo umefika hm kwa mtindo huo.
Mbona ndivyo ilivyo..... tena hapo kama ni Jumatatu ongezea nusu saa ya kubishana kuhusu game la Jumamosi..., na kama 2 hours za kuongea kwenye simu kwa kutumia landline ya ofisi...