timu 10 za mpira zenye washabiki wengi Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1.Yanga
2.Simba
3.Coastal union
4.Mbeya city
5.Pamba fc
6.Azam fc
7.CDA Dodoma
8.Machava fc
9.Mtibwa sugar
10.Lipuli fc
 
1.Yanga
2.Simba
3.Coastal union
4.Mbeya city
5.Pamba fc
6.Azam fc
7.CDA Dodoma
8.Machava fc
9.Mtibwa sugar
10.Lipuli fc

1.arsenal
2.man utd
3.chelsea
4.liverpool
5.simba
6.yanga
7.man city
8.juventus
9. Ac milan
10.azam

source:JF-SPORTS FORUM
 
Hiyo Machava nakubali, hao jamaa wanamashabiki wasikwambie mtu!! wakipanda ligi kuu hao jamaa kutakuwa na changamoto mpya katika soka
 
Tukiweka unafki pembeni mashabiki wa kweli wapo Simba na Yanga, Kidoooogo Azam Fc ila hao wengine wote mapandikizi wanashangilia tu hizo timu kwa kuwa zinatoka mikoani kwao.

Nilishaona huku Songea mtu anajiita shabiki nguli wa Majimaji siku imekuja Simba kageuka kakaa upande wa Simba anaruka debe. Na ndivyo ilivyo siku akija Yanga.
 
1.Yanga
2.Simba
3.Coastal union
4.Mbeya city
5.Pamba fc
6.Azam fc
7.CDA Dodoma
8.Machava fc
9.Mtibwa sugar
10.Lipuli fc
Ni Yanga na Simba tu, wengine ni ziada kwa vigezo viwili, kwanza uzawa mfano mnyakyusa atashabikia Mbeya City. Pili Yanga ama Simba anapocheza na mojawapo ya hizo timu nyingine, wapinzani watahamia huko. Bongo hakuna shabiki wa hizo timu nyingine pekee, lazima awe Yanga au Simba.
 
Mkuu umeanza lini kufwatilia mpira? Hao coastal Union na African sports pamba fc ni timu zenye mashabiki real wasiokuwa pandikizi hata kidogo

Mimi ni mtu mzima mkuu, naweza nikawa nimeanza kufuatilia mpira hata kabla yako....pamba naijuwa vizuri sana enzi zile miaka ya 90..lakini kwa sasa tutadanganyana tu sidhani kama itakuwa na mashabiki wengi...


Binafsi top 3 yangu ni hii

1 Yanga
2 Simba
3 Azam
 
sio kweli Fanya uchunguzi vizuri Azam kwa sasa hawez akawa na fans wengi kuliko coastal maybe miaka ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…