Sasa mbona hapa http://footballdatabase.com/clubs-ranking/young-africans-dar-es-salaam inaonyesha kuwa Yanga ni ya 339 kwenye orodha ya klabu za kiafrica??? Hii mtandao inachanganya.Mabingwa wa kihistoria Tanzania wametajwa katika orodha ya timu bora 50 kwa mwaka 2017. Yanga wameshika nafasi ya 43.
Viongozi wetu mnapoingia mikataba na makapuni msifananishwe na wale wengine ambao hata 200 bora hawasomeki. Ni hatua nzuri kwa Klabu yetu ila msimu ujao tupigane kwenda mbele.
Tukisema wakimataifa numbers don't lie
Source:www.globalfootballranks.com
Sasa mbona hapa Young Africans, Ranking and Statistics - FootballDatabase inaonyesha kuwa Yanga ni ya 339 kwenye orodha ya klabu za kiafrica??? Hii mtandao inachanganya.
Mtoa uzi ni mwongo, sijui hizo takwimu kazipata wapi. Yanga awapo 50 Bora, ni ya 339, ikifuatiwa na Azam 360, Simba wanafuata wakiwa no 365.
Inategemea na aliye wa rank. Kama Twaweza wanavyofanya.Mtoa uzi ni mwongo, sijui hizo takwimu kazipata wapi. Yanga awapo 50 Bora, ni ya 339, ikifuatiwa na Azam 360, Simba wanafuata wakiwa no 365.
Simba wakiwa chini haina tatizo hata kama tungekuwa wa 1000 na Simba akawa 1001, nduhu tabhu!Mtoa uzi ni mwongo, sijui hizo takwimu kazipata wapi. Yanga awapo 50 Bora, ni ya 339, ikifuatiwa na Azam 360, Simba wanafuata wakiwa no 365.
Simba wakiwa chini haina tatizo hata kama tungekuwa wa 1000 na Simba akawa 1001, nduhu tabhu!
Yaya nduhu geteSimba wakiwa chini haina tatizo hata kama tungekuwa wa 1000 na Simba akawa 1001, nduhu tabhu!
Nduhu kei?Yaya nduhu gete