Timu gani unaitabiria itachukua ubingwa wa UEFA?

makalango

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
451
Reaction score
254
wakuu kama mnavyojua ligi kubwa na yenye mvuto katika virabu ni ile ya klabu bingwa barani ulaya inayoendelea kwa sasa je ni Timu unaitabiria itachukua ubingwa itakuwa real Madrid tena? au Timu gani karibu tujuzane

mimi naanza na bayern Munich itatwaa ndoo.
 
Buyern munich....hawa wapo stable kuanzia kipa mpaka straika!!!
 
Buyern japo I wish Real madrid wachukue
 
Real Madrid vs Leicester Fainali na Bingwa ni Real Madrid kwa Goli Moja kwa bila
 
Usiwasahau BARCA pia baada ya ushindi wa leo motivation yao ya kuchukua kombe itakuwa imeongezeka zaidi.

Hili kombe Huwa halirudiwa mara mbili,


Bayern Munich wapeni kombe lao!
 
kwa utabili huu lazima mikeka ife.Ila nimepiga kiasi kdogo leo
 
Kwa jinsi nilivyokua crazy ningeona mapema hii thread ningejibu Barcalona
 
He he he...
Hivi Kalou anachezea timu gani kwa sasa mkuu..!?
Yuko timu moja na Samuel Etoo, Didier Drogba , Emanuel Adebayor , Sunday Oliseh ,Okocha, Diof ,Essien , Asamoah , Marc Cathy, .. ..... The list is endless
[HASHTAG]#IamProudyAfrican[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…