Timu Gani ya Soka kutoka Kenya Iko mashindano ya CAF?

Naomba kujua manake kelele ni mingi sana joo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mwaka jana Kenya ilikua banned by fifa kushiriki michezo yoyote ya fifa or CAF na ndiyo maana ya kukosa kwenye mashindano.., kuwa unafanya utafiti kabla ya kukurupuka, uzembe wenu unakera sana.., mbona mko hovyo kifikra hivi wengi wenu? khaa.., tafuteni elimu angalau..,
 
Kwa sababu gani wakafungiwa
 
Mashabiki wa Simba wanatufanya Tanzania ionekane imejaza wajinga.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hta mngekuwepo mngefanya nn kwa timu za Tanzania
 
Mtoa mada kazingua Sana, ujinga Ni kitu kibaya Sana
 
Kwa 2023 Kenya haikupata fursa ya kushiriki mashindano yeyote ya kimataifa ngazi ya klabu Kutokana n serikali yao ilikuwa inaingilia mambo ya soka, hivyo ligi ya Kenya ilifungiwa isitoe wawakilishi katika CAF competitions. Hata hivyo InshaAllah mwakani tutamuona Gor tena baada ya adhabu yao kufutwa.
 
Hata kama wasingekuwa banned Kenya vilabu vyake haviwezi kushindanishwa hata na timu za daraja LA pili huku kwetu. Kenya wako nyuma sana kisoka. Wapo wanafagilia ligi ya uingereza kama yao
 
Apart from last year ban, when you were in the champion's league in recent years
 
Wanaishia kwenye preliminary stages, wanatolewa, swali sahihi ni lini mara ya mwisho club ya Kenya kuingia Makundi au kuvuka makundi ya CAF Champions league?
 
Hata kama wasingekuwa banned Kenya vilabu vyake haviwezi kushindanishwa hata na timu za daraja LA pili huku kwetu. Kenya wako nyuma sana kisoka. Wapo wanafagilia ligi ya uingereza kama yao
hivi mpo namba ngapi kwenye fifa rankings na wachezaji wangapi wanaocheza ligi za ulaya sio ligi uchwara
 
hivi mpo namba ngapi kwenye fifa rankings na wachezaji wangapi wanaocheza ligi za ulaya sio ligi uchwara
Ligi yetu ni namba tano kwa ubora afrika.
Tulia wew kilandage kaandamane upate unga ulishe familia. Bus LA gormahia lilipigwa mnada kufidia gharama za hotelini. Poor kenya
 
Ligi yetu ni namba tano kwa ubora afrika.
Tulia wew kilandage kaandamane upate unga ulishe familia. Bus LA gormahia lilipigwa mnada kufidia gharama za hotelini. Poor kenya
Sasa kwa kuwa ligi yenu ipo Bora kuliko ligi ya Nigeria, mumeishinda Nigeria kisoka kivipi kama sio ushabiki uchwara wa simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…