mtanzania10
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 271
- 81
Umeelewa swali?Fabio Capello(Italian) alifundisha England....
Marcio Maximo(Brazilian) alifundisha Tanzania kwa mafanikio...
Wako wengi ingia kwenye Google acha uvivu mtoto
Umeelewa swali?
NAONA HUJANIELEWA VIZURI NILICHOKUWA NAMAANISHAFabio Capello(Italian) alifundisha England....
Marcio Maximo(Brazilian) alifundisha Tanzania kwa mafanikio...
Wako wengi ingia kwenye Google acha uvivu mtoto
BrazilHabari wanaspoti,
Ni nchi gani au taifa ambalo timu yao ya taifa haijawahi kufundishwa na kocha ambaye sio mzaliwa wa nchi hiyo?
Habari wanaspoti,
Ni nchi gani au taifa ambalo timu yao ya taifa haijawahi kufundishwa na kocha ambaye sio mzaliwa wa nchi hiyo?
Chile na Paraguay zimeshafundishwa na makocha toka Argentina.Argentina, Chile, Paraguay
Usome uelewe..... Kabla ya kupost.....Fabio Capello(Italian) alifundisha England....
Marcio Maximo(Brazilian) alifundisha Tanzania kwa mafanikio...
Wako wengi ingia kwenye Google acha uvivu mtoto
Hahaaaaa hakuna walichoelewaUmeelewa swali?
Ni shida sanaHalafu huu ukurupukaji jmn naona unazd
Ni Brazil mkuuHabari wanaspoti,