Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jamani nilikuwa nimejilaza kwenye kuchi baada ya uchovu wa kutwa nzima.
Usingizi ulikuwa mtamu sana na wenye ndoto za kitoto.
Katikati ya usingizi mnono nashtushwa na makelele ya mashabiki wa soka "hamuwezi kuchukua Barclays, mmepigwa sita"
mara sauti nyingine inajibu "mbona tumewapiga nyie nane?"
mara ugomvi mkuvwa unatokea mtaani. Ni zogo, maneno ya kejeli na matusi.
Nabaki nikijiuliza ni timu gani ya Uingereza ikishinda mashabiki wake wana maskelele, fujo na majigambo?