Timu hii itafungiwa kwa muda wa miaka 5 kuanzia 31 Okt 2010?

Timu hii itafungiwa kwa muda wa miaka 5 kuanzia 31 Okt 2010?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Golini: Rostam
Beki 2: Chenge
Beki 3: Lowassa
Beki 4: Idrisa Rashid
Mkoba: Manji
Namba 6: Dr. Hosea
Kulia (7): Makamba
Namba 8: Kinana
Striker (9): Mramba
Namba 10: Shekh Yahya
Namba 11: Dr. Dau

Reserve:
Ridhiwani Kikwete
January makamba
Hussein Mwinyi
Tido Mhando
Masha
Said Mwema
Mizengo Pinda
Sam Sitta

Maamuzi:
Lewis makame
John Tendwa
Rajabu Kiravu
 
wasiwasi wangu marefa wasije wakawa wamechakachuliwa; mpira wa kona wakasema ni penati
 
Sanaa safi sana uliyoitumia, na ujumbe umefika kikamilifu.
Hakika una deserve my thanks.
golini: Rostam
beki 2: Chenge
beki 3: Lowassa
beki 4: Idrisa rashid
mkoba: Manji
namba 6: Dr. Hosea
kulia (7): Makamba
namba 8: Kinana
striker (9): Mramba
namba 10: Shekh yahya
namba 11: Dr. Dau

reserve:
Ridhiwani kikwete
january makamba
hussein mwinyi
tido mhando
masha
said mwema
mizengo pinda
sam sitta

maamuzi:
Lewis makame
john tendwa
rajabu kiravu
 
timu hii si mchezo haya nipe na ya upande wa pili! marefaree wako tayari or zimeingia mitini?
 
kamisaa wa mchezo ni somaiya akisaidiwa na patel.
 
Inanikumbusha mechi za enzi hizo maana hii lazima iishe kwa ugomvi. Huyo namba 10 atakuwa mbeba hirizi. Hana kiwango lakini lazima acheze. Mkuu hebu orodhesha na kamati ya ufundi,nadhani itakuwa:
1. TAKUKURU
2.NEC
3. Mahakama kuu

Wafadhili watakuwa:
Dowans,
Richmond,
Vodacom
Tanesco
Epa
CCM.
 
Tunangojea listi ya timu pinzani au wanacheza wenyewe???????
 
Timu hii imedai refa awe chief of staff, Lt. Gen. Abdulrahaman Shimbo badala ya Jaji Lewis Makame!!!!!!!!
 
Tunangojea listi ya timu pinzani au wanacheza wenyewe???????

Golini: Baregu
Beki 2: Mtei
Beki 3: Mbowe
Beki 4: Marando
Mkoba: Shibuda
Namba 6. Lissu
Kulia: Mnyika
Namba nane: Mpendanzoe
Striker: Dr. Wilbrod Slaa
Namba 10: Alcado Ntagazwa
Namba 11: Sabodo

Kwenye benchi
1. Zitto Kabwe
2. Said Mzee Said

Coach: Bob Makani

Usajili:
1. Ole Sendeka
2. John Pombe Maghufuli
3. Msindai
4. Lubeleje
5. Said Mwema
6. Salim Ahmed Salim
7. Joseph Warioba
8. Nape Nnauye
9. Lucas Selelii

NB: Usajili ruksa wakati mechi inaendelea kama timu A ilivyosajili Lt. Gen. Shimbo!
 
Back
Top Bottom