Timu iliyotoka sare na Simba SC ilipokea kichapo cha magoli 3 kutoka kwa Azam FC

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448

Msimu ulioisha Azam waliiondosha mashindanoni klabu ya Bidvest na hatua iliyofuata walikutana na Mbabane Swallows ndio ulikuwa mwisho wa Azam.

Simba bado hatupo vizuri hii sare isituvimbishe kichwa ase
 
mkuu tofautisha friend match na mashindano maalimu

mbona juzi bayern kala 3 toka kwa liver unataka uniambie liver akikutana na bayern uefa atafurukuta?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] in[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msimu ulioisha Azam waliiondosha mashindanoni klabu ya Bidvest na hatua iliyofuata walikutana na Mbabane Swallows ndio ulikuwa mwisho wa Azam.

Simba bado hatupo vizuri hii sare isituvimbishe kichwa ase
Mleta mada ni shabiki wa ndala fc.
Maana hakuna uhusiano wa timu kufungwa na Azam na kudraw na Simba. Sasa hv hao jamaa ndo wanaongoza ligi kuu south

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu ulioisha Azam waliiondosha mashindanoni klabu ya Bidvest na hatua iliyofuata walikutana na Mbabane Swallows ndio ulikuwa mwisho wa Azam.

Simba bado hatupo vizuri hii sare isituvimbishe kichwa ase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…