Timu inakimbia hovyo uwanjani, Mo atuachie timu yetu Ong bak aondoke

Timu inakimbia hovyo uwanjani, Mo atuachie timu yetu Ong bak aondoke

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa.

Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi.
Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

fcc55ca5fdd24f96807716a3c6050b0b.jpg

 
Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa. Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi.

View attachment 3064923
Acha unafki simba kwa sasa ni team nzuri kuliko ya msimu uliopita marekebisho ni madogo tu.
 
Makolo wanatia huruma sana!
Muunganiko wa Mo,Mangungo,Mikwala na Fred funga funga umeshindwa kazi!!
 
Sisi wenye Simba yetu tumekubaliana timu tunaipa mwezi mmoja, ukijumlisha na zile wiki tano itakuwa na miezi miwili. Sasa wewe ni nani unayetupigua kelele hapa?.

Utopolo wameshinda lkn hawana Raha yaani wamejawa na hofu kuu.
 
Back
Top Bottom