MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Acha unafki simba kwa sasa ni team nzuri kuliko ya msimu uliopita marekebisho ni madogo tu.Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa. Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi.
View attachment 3064923
yamekuwa haya tenaUmeongea ukweli sana, hii Simba itafungwa sana kwenye ligi. Timu inamtegemea mbio za Joshua ili ishinde. Timu haina plan B. Hakuna mchezaji anayeweza angalau kujitutumua kubadili mchezo, hii Simba itamkumbuka Saido.
Hahaaaaaa, mapema sana kuanza kulalamika na kupewa jina jipya la ONG BAKAmekua ONG BAK tena😂😂😅
Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa.
Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi.
Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024