Timu inayowakilisha Afrika yachapwa mabao 10-0 na Ujerumani

Timu inayowakilisha Afrika yachapwa mabao 10-0 na Ujerumani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wawakilishi wa Afrika katika kombe la dunia la wanawake Ivory Coast wamelazwa 10-0 na ujerumani
https://www.facebook.com/BBCSwahili...40310.160894643929209/997730360245629/?type=1

11407187_997730360245629_7350429098748298916_n.jpg
 
Duh ingekuwa stars rojorojo tungefungwa 20
 
Ivi nigeria hawapo kwe hizi fainali?...hawa watoto wapo vizuri sana...nawaaminia.sana
 
Hawa Ujeruman hawarembi kwenye kazi,
Mwaka jana wakati wabrazil wakiume wakipigwa 7-1 na hata dada zao walikula 5-0 tena na Wajerumani.
 
Back
Top Bottom