Timu inayowakilisha Afrika yachapwa mabao 10-0 na Ujerumani

Duh ingekuwa stars rojorojo tungefungwa 20
 
Ivi nigeria hawapo kwe hizi fainali?...hawa watoto wapo vizuri sana...nawaaminia.sana
 
Hawa Ujeruman hawarembi kwenye kazi,
Mwaka jana wakati wabrazil wakiume wakipigwa 7-1 na hata dada zao walikula 5-0 tena na Wajerumani.
 
Hivi mbona yanga walifungwa tano na simba.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…