Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

Hapo ni Azam Tuu. Yanga wamekuja na jezi substandard za bei nafuu zenye uchafu wa makorokocho mengi

Jezi mbili za simba ni zilezile za msimu uliopita iliyotofauti ni hii walioiga rangi za Barcelona na hatuwezi kuita jezi mpya bali ni wizi wa hatimiliki na hati bunifu hivyo wataburuzwa mahakamani punde si punde kwa kunajisi hati bunifu ya timu ya Barcelona
 
Sijui tutabadilika lini tz.Sasa ukiwa na jezi nzuri ndio mafanikio ya soka.mmm labda ungesema timu gani imesajili vizuri.
 
Kwani ungeandika JEZI na hayo mengine kwa kiswahili ingekuwa vipi?
Kiswa-nglish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…