Timu itakayo shangaza watu EPL 2019/2020...

usy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
209
Reaction score
164
Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...

kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku Chelsea ilikua tayar imeshamsajili Pulisic ambayo naona kwa 90% atakua mbadala wa Eden,,

Jambo la pili nikuondoka kwa wachezaji muhimu,, kuondoka kwa hazard kwel ni pengo lakini ujio wa Pulisic imezima dhana hii na kupunguza pengo amabalo kimsingi lingeonekana... kwa upande wa Luiz sioni hata lengo lake, na mwenyewe aliondoka baada ya kuona nafasi yake itakua ndogo baada ya kijana Zouma kulejea Stamford...

Jambo LA tatu, ni Frankie Lampard kuambiwa hana uzoefu,, jamani Uwezo ni muhimu kuliko uzoefu ndo maana zidanw aliweza kufanikiwa na Madrid huku akiwa hana uzoefu...

Beki ya Chelsea itaundwa na Azi, Christensen, Emerson, Rudiger, Zouma, Alonso, Zapacosta pamoja na kijana mdgo James.. hapa kwa mfumo wa beki wanne namuona Rudiger na zouma katikati huku pembeni akicheza Azip na Emerson/ Alonso,, Hebu nambie yupo hata uzoefu hapo? au yupi ni beki dhaifu??

katikati hapa ndo pamenoga zaid,, kuna Kante nadhani hahitaji maneno mengi kumuelezea, yupo Joginho, Mateo, Barkery, Bakayoko na Monson mont.. hapa kwenye first eleven ni Kante, Joginho na barker/ Mateo sijui unataka combination gana zaid ya hii... wakati Kante anasaidia defence, Joginho anatulipa katikati huku Barkery akianzisha mashambulizi...

Hapa mbele yupo William, Pedro, tarented Culum Hudson Odoi (CHO), Roben loftus Cheek, yupo Pulisic ( Captain America) yupo Batman ( New Drogba ) na Olivier Giroud.. Sasa hebu nasiidie mwenyewe kuchagua mwenyewe watatu wa kuanza hapa... Ila kumbuka Captain America wanaweza cheza kama central striker..

Nimesahau kipa eeeh,,, hapa yupo Spain number one,, Keppa arrinini sijui,,, huyu mtoto anaenda kuchukua namba vya De gea pale Spain believe me...

Lampard hana uzoefu?? amecheza final ya play off unataka... hebu nikumbushe wakati zedane anaichukua Madrid alitokea timu gani iliyokua inashiliki LA liga au alitokea EPL ??

Chelsea isibezwe, bado ni timu bora EPL
 
Ramli au sio ??
 
Mbona sari alikuwa ajawahi kuchukua kombe tokea aanze kufundisha mpira lakini kachukua kombe akiwa na Chelsea kufanikiwa kwa kocha sometimes Inasababishwa na unawafundisha wachezaji wenye mentality ipi? Chelsea kila msimu lazima waondoke na kombe hawaondoki kapa utasemaje timu dhaifu.Di Mateo kachukua uefa na Chelsea akiwa hajawai kufundisha timu yoyote zaidi ya kuwa kocha msaidizi pale Chelsea.Me siafiki kabisa hoja ya uzoefu kwa lampard kumbuka huyu huyu kamfunga man u old Trafford wakati akiwa derby country vip akiwa Chelsea lakini pia Chelsea yenyewe ili struggle Sana kupata matokeo Tena wakiwa uwanja wao dhidi ya derby country ya lampard alishindwa dakika za mwisho mechi iliisha 3 kwa 2 msimu uliopita alafu Leo mnadharau lampard?
 
Hao akina odoi rudiger na wiliam ni wagonjwa wote
 
Hivi vitu huwa ni bahati aisee. Mimi toka naijua Chelsea sijawahi ona kocha anakuja pale Chelsea kisha akaondoka kapa bila kombe. Chelsea wana bahati sana, Lampard kombe lake liko njiani
Mbona sari alikuwa ajawahi kuchukua kombe tokea aanze kufundisha mpira lakini kachukua kombe akiwa na Chelsea kufanikiwa kwa kocha sometimes Inasababishwa na unawafundisha wachezaji wenye mentality ipi? Chelsea kila msimu lazima waondoke na kombe hawaondoki kapa utasemaje timu dhaifu.Di Mateo kachukua uefa na Chelsea akiwa hajawai kufundisha timu yoyote zaidi ya kuwa kocha msaidizi pale Chelsea.Me siafiki kabisa hoja ya uzoefu kwa lampard kumbuka huyu huyu kamfunga man u old Trafford wakati akiwa derby country vip akiwa Chelsea lakini pia Chelsea yenyewe ili struggle Sana kupata matokeo Tena wakiwa uwanja wao dhidi ya derby country ya lampard alishindwa dakika za mwisho mechi iliisha 3 kwa 2 msimu uliopita alafu Leo mnadharau lampard?
 
Endelea kupiga ramli na kujipa moyo

Kwa kikosi cha sasa cha Chelsea huwez kupambana hata na Watford mwenye midfield Kali , na winger Isamail sarr na double forward deney na welbek

Chelsea ana forward butu kuliko Everton wenye IWOBI-RICHARLSON- KEAN

sasa endelea kujidanganya ,ikiwa kwenye preseason hiyo beki ilikuwa inaruhusu magoli hadi matatu kwa mechi

Mwisho Chelsea ina kipa ambaye bado hana uzoefu ,natabiri msimu huu Chelsea kumaliza nafasi ya 7-10
 
Mechi ya Super Cup kati ya Chelsea na Liverpool itatuonyesha Mengi,hii ni kwa Chelsea tu
 
Sarri timu kaikimbia japo alikua na tactical awareness kubwa sn, huyo lampard asiyejua kitu atapigwa atachakaa.
 
Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...

kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku Chelsea ilikua tayar imeshamsajili Pulisic ambayo naona kwa 90% atakua mbadala wa Eden,,

Jambo la pili nikuondoka kwa wachezaji muhimu,, kuondoka kwa hazard kwel ni pengo lakini ujio wa Pulisic imezima dhana hii na kupunguza pengo amabalo kimsingi lingeonekana... kwa upande wa Luiz sioni hata lengo lake, na mwenyewe aliondoka baada ya kuona nafasi yake itakua ndogo baada ya kijana Zouma kulejea Stamford...

Jambo LA tatu, ni Frankie Lampard kuambiwa hana uzoefu,, jamani Uwezo ni muhimu kuliko uzoefu ndo maana zidanw aliweza kufanikiwa na Madrid huku akiwa hana uzoefu...

Beki ya Chelsea itaundwa na Azi, Christensen, Emerson, Rudiger, Zouma, Alonso, Zapacosta pamoja na kijana mdgo James.. hapa kwa mfumo wa beki wanne namuona Rudiger na zouma katikati huku pembeni akicheza Azip na Emerson/ Alonso,, Hebu nambie yupo hata uzoefu hapo? au yupi ni beki dhaifu??

katikati hapa ndo pamenoga zaid,, kuna Kante nadhani hahitaji maneno mengi kumuelezea, yupo Joginho, Mateo, Barkery, Bakayoko na Monson mont.. hapa kwenye first eleven ni Kante, Joginho na barker/ Mateo sijui unataka combination gana zaid ya hii... wakati Kante anasaidia defence, Joginho anatulipa katikati huku Barkery akianzisha mashambulizi...

Hapa mbele yupo William, Pedro, tarented Culum Hudson Odoi (CHO), Roben loftus Cheek, yupo Pulisic ( Captain America) yupo Batman ( New Drogba ) na Olivier Giroud.. Sasa hebu nasiidie mwenyewe kuchagua mwenyewe watatu wa kuanza hapa... Ila kumbuka Captain America wanaweza cheza kama central striker..

Nimesahau kipa eeeh,,, hapa yupo Spain number one,, Keppa arrinini sijui,,, huyu mtoto anaenda kuchukua namba vya De gea pale Spain believe me...

Lampard hana uzoefu?? amecheza final ya play off unataka... hebu nikumbushe wakati zedane anaichukua Madrid alitokea timu gani iliyokua inashiliki LA liga au alitokea EPL ??

Chelsea isibezwe, bado ni timu bora EPL
Hapo beki kuna dogo anaitwa Tomori. Ilikuwa aende Everton kwa mkopo, Luiz alipoondoka akazuiwa abaki. Alikuwa Derby na Mason Mount. Lampard anamuaminia sana. Mbele jersey namba 9 ni dogo Tammy Abraham. Lampard akiwaamini akawatupa uwanjani jituma yao itakuwa balaa. Kila mtu anataka aoneshe makeke. Acha wajiaminishe kuwa Chelsea atapotea....ila wajue miaka 3 haipitagi Chelsea hajachukua kombe [emoji851]
 
  • Thanks
Reactions: usy
Back
Top Bottom