fuuny match nilipeleka familia kwenda kitazama, full mizaha
alipoingia TUNDAMAN badala ya manula kupigwa hamsa ,nilicheka ila tundaman ni pure goal keeper ni kipaji kilicho jificha
pascal wawa akavua nguo zote baada ya kuombwa na mashabiki jezi akabaki na boksa tu .....