Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Young Africans yawa timu ya kwanza ku expand nchi za Africa mashariki
Rasmi Tawi la Yanga Wakali Kwanza limezinduliwa Lubumbashi, Congo na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, Makamu wa Rais Arafat Haji, Wajumbe wa Baraza la Wadhamini na Uongozi mzima wa Yanga SC mjini Lubumbashi nchini Congo
#WananchiCongo[emoji1078]
Wanachama wetu wa Tawi la Wakali Kwanza Lubumbashi wakikabidhiwa Kadi zao za Uanachama na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na Tawi hilo mjini Lubumbashi, Congo.