Timu kubwa: Eng Hersi akigawa kadi za Yanga Lubumbashi Congo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Young Africans yawa timu ya kwanza ku expand nchi za Africa mashariki

Rasmi Tawi la Yanga Wakali Kwanza limezinduliwa Lubumbashi, Congo na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, Makamu wa Rais Arafat Haji, Wajumbe wa Baraza la Wadhamini na Uongozi mzima wa Yanga SC mjini Lubumbashi nchini Congo

#WananchiCongo[emoji1078]

Wanachama wetu wa Tawi la Wakali Kwanza Lubumbashi wakikabidhiwa Kadi zao za Uanachama na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na Tawi hilo mjini Lubumbashi, Congo.




 
Tawi linazinduliwa pale Lubumbashi
 

Attachments

  • 1680364943761.jpg
    53 KB · Views: 4
Hongera sana lnjinia Kwa uwakilishi.
Yote uyafanyayo ni Kwa niaba yetu sote including the Kolo[emoji12][emoji12][emoji13][emoji13]
 
Hongera sana lnjinia Kwa uwakilishi.
Yote uyafanyayo ni Kwa niaba yetu sote including the Kolo[emoji12][emoji12][emoji13][emoji13]
Yaaaah mkuu ...hii faida Kwa wote
 
Nakumbuka kuna mama wa kikongo mshabiki wa yanga waliomba msaada kule kutokana na majanga ya huko HASA vita !

Naona yanga wamesikia kilio chao!watuonyeshe na misaada walioitoa huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…