Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barcelona na
Madrid nimeach kuzishabikia hizi Futball Haina radha tena.
Cheza mpira vya mezani waachie Kagera wachukue halali yao.Yanga a.k.a wazee wa 4G
naona umekuja na ushahidi kabisa,sidhani kama Yanga wanabebwa ni aina ya mpira tu wanaocheza inakua rahisi wachezaji kufanyiwa madhambi refa akitoa kadi watu wanalalamika.Hivi hapa Tanzania kuna timu mbeleko zaidi ya Yanga. Angalia matatizo waliyo sababisha kwa msimu mmoja tu.
1.Mpaka sasa kwa kubebwa yanga marefa wanne(4) wameshushwa.
2.kubebwa yanga viti vya uwanja wa taifa viling'olewa.
3.wamepigwa 4. TFF wanasema tusiwaite 4G.