Naisubir el classico kwa hamu san this weekend..Katika maisha ya kupenda na kushabikia soka,sijawahi kuhuzunika kuwa familia ya Madrid na tim Cristiano Ronaldo.
Napata kile shabiki napaswa kukipata na kwa wakati. Asante Madrid na asante sana CR7.
I am tim Real Madrid and tim Cristiano Ronaldo till death..
hahahaTujipongeze kwa fursana ya bariiiiiiidi kwa wale tusiowalevi mkuu..
tuba watengeneza wale mwaka huu la liga yetuNawasubir barca kwa hamu san this weekend..
Ni kweli, lakini ni kweli pia kuwa umri unamtupa mkono! Anatupia Mara moja moja sana! Hii mechi ya Jana ilibidi apumuzishwe kwa kutokupangwa kwenye ligi!Naiona tuzo ya mchezaji Bora WA Dunia, inamtafuta mnyama cr7 tena!
Hahahahaha huyu jamaa watu wasiompenda wanajidhulumu nafsi zao tuu jamani!
Mnyama cr7 bado sana hii Ngoma mpaka 35! Unafikiri real Madrid ni wajinga kumpa mkataba WA miaka 5??Ni kweli, lakini ni kweli pia kuwa umri unamtupa mkono! Anatupia Mara moja moja sana! Hii mechi ya Jana ilibidi apumuzishwe kwa kutokupangwa kwenye ligi!
Tusitegemee kumwona R7 msimu ujao! Na asipofunga el classico ya jumapili ijayo basi tena! Miala 32 ndo limit ya R7.
Limit ya messi itakuwa miaka 30! Sasa ana 29 na amebakiza mwaka 1!
Lkn uzi unawahusu tim Madrid na CR7 mkuu..Hata mimi ni team Ronaldo Nazário de Lima
Hata De Lima alichezea Real MadridLkn uzi unawahusu tim Madrid na CR7 mkuu..
Na Mimi pie, aseemimi pia ni shabiki wa kudumu wa CR 7