wiz_via_swai_tz
Member
- Apr 15, 2017
- 20
- 8
Hehehe nipo Mahangaiko nchi ya magufuli mengi
hahahaaHehehe nipo Mahangaiko nchi ya magufuli mengi
Napita pita tatizo skuizi kila sehemu bashite so huwa napita kimyaa.. Asanteee [emoji4] [emoji4]hahahaa
owkey, nlikumiss sana thanks lakin kwa kuonekana mara moja moja , endelea kupambana mam
hahahaNapita pita tatizo skuizi kila sehemu bashite so huwa napita kimyaa.. Asanteee [emoji4] [emoji4]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ayaaahahaha
usjali, ukiwa unapita uwe una nistua maana nakuwa worried ukiwa haupo