Timu Magufuli ndiyo kwisha habari yao

Timu Magufuli ndiyo kwisha habari yao

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Hii ndiyo hali halisi.

Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.

"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
 
2025 NI;
DKT SAMIA SULUHU HASSAN
DKT EMMANUEL NCHIMBI.

Unaachaje kuchagua vichwa hivi uende ukahangaike na waropokaji wa Ubelgiji? (Over my dead body)
 
Ni mwendo wa Madokta tu..
 
2025 NI;
DKT SAMIA SULUHU HASSAN
DKT EMMANUEL NCHIMBI.

Unaachaje kuchagua vichwa hivi uende ukahangaike na waropokaji wa Ubelgiji? (Over my dead body)
Dr. Emmanuel Nchimbi angekuwa mgombea urais kamili badala ya Samia ingekuwa bora zaidi.
Jakaya master plans
Namuona Rostam Aziz kama ndiye master plan wa yanayoendelea sasa hivi katika chama cha mapinduzi, Jakaya Kikwete amepigwa K.O
 
Hii ndiyo hali halisi.

Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.

"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
Sukuma gang poleni sana!
 
Mi ningekuwa samia ningewaua wote mana ndo walisabanisha nch ikawa hivi ilivyo
 
Magufuli bila shaka alikuwa mtu wa pekee sana!
Alishakufa lakini bado mpaka leo kuna watu wanapambana naye.
Hii ni ajabu kidogo
Lazima awe reference ya madictator wote africa
 
Hii ndiyo hali halisi.

Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.

"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
Pombe Fufuka Uje ugawe Dozi Jamani 😅😅😅watu wanakumiss sana
 
Back
Top Bottom