Ni mwendo wa Madokta tu..2025 NI;
DKT SAMIA SULUHU HASSAN
DKT EMMANUEL NCHIMBI.
Unaachaje kuchagua vichwa hivi uende ukahangaike na waropokaji wa Ubelgiji? (Over my dead body)
Hujamsikia Makamba? Wema hawafi. Matendo yake yanaishi.Magufuli bila shaka alikuwa mtu wa pekee sana!
Alishakufa lakini bado mpaka leo kuna watu wanapambana naye.
Hii ni ajabu kidogo
Dr. Emmanuel Nchimbi angekuwa mgombea urais kamili badala ya Samia ingekuwa bora zaidi.2025 NI;
DKT SAMIA SULUHU HASSAN
DKT EMMANUEL NCHIMBI.
Unaachaje kuchagua vichwa hivi uende ukahangaike na waropokaji wa Ubelgiji? (Over my dead body)
Namuona Rostam Aziz kama ndiye master plan wa yanayoendelea sasa hivi katika chama cha mapinduzi, Jakaya Kikwete amepigwa K.OJakaya master plans
Saivi Jf kila mtu ana jifanya Jasusi Umeandika nini hiki ?Jana Genge la Ndugai limepigwa Katafunua ya kidevu mpaka wakona nyota nyota.
Aisee CCM wana mbinu za hatari sijapata ona
Sukuma gang poleni sana!Hii ndiyo hali halisi.
Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.
"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
Mi ningekuwa samia ningewaua wote mana ndo walisabanisha nch ikawa hivi ilivyoHii ndiyo hali halisi.
Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.
"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
Lazima awe reference ya madictator wote africaMagufuli bila shaka alikuwa mtu wa pekee sana!
Alishakufa lakini bado mpaka leo kuna watu wanapambana naye.
Hii ni ajabu kidogo
Kwahiyo unatamani ungekuwa mama?Mi ningekuwa samia ningewaua wote mana ndo walisabanisha nch ikawa hivi ilivyo
Mama ni mtu na nusu. Nchi kaitoa kuzimuKwahiyo unatamani ungekuwa mama?
Fikiria mara mbili mkuu.
uliza ambacho hujaelewa ujibiweSaivi Jf kila mtu ana jifanya Jasusi Umeandika nini hiki ?
Pombe Fufuka Uje ugawe Dozi Jamani 😅😅😅watu wanakumiss sanaHii ndiyo hali halisi.