Timu Namba 1 Kenya Gor Mahia haijalipa wachezaji miezi minne, haiwezi hata kuhudumia maji wakati wa mazoezi

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Ni wazi Tanzania ndiye Kinara wa Soka hapa Africa Mashariki, Kuanzia ngazi za vilabu, Viwanja hadi ligi yeyewe kwa ujumla,
Wachezaji mahiri wa ukanda huu ndoto zao ni kucheza Vilabu vya Tanzania hasa Simba, Azam, Yanga NK,
Kuna wakati Yanga aka Utopolo ilipitia wakati mgumu sana kiuchumi lakini Haikuwahi kufikia kiwango hiki cha ufukara cha Gor Mahia ambayo ndiyo timu Namba 1 Kenya,

___________________________________________
MAJI yamewafika Gor Mahia shingoni. Taarifa za utendeti tulizonasa zinaarifu zaidi ya wachezaji 10 wanaounda 'First 11' wanajipanga kuigura klabu hiyo kutoroka msoto.

Nyufa ya kwanza kwenye ukuta wa Gor ulianza kwa kocha Mreno Carlos Vaz Pinto kuondoka ghafla baada ya kuvunja mkataba wake. Hakuwa amelipwa mshahara wake wa miezi minne kufikia wakati anaondoka.

Kisha akafuata kiungo tegemeo Kenneth Muguna aliyejiunga na Azam FC ya Tanzania halafu beki wao tegemeo Charles Momanyi aliyejiunga na Tusker hivi majuzi.

Sasa hakuna anayetaka kubaki baada ya miamba hao kuondoka huku wachezaji wenzao wa kikosi cha kwanza nao wakijipanga kujitoa. Tatizo kubwa limekuwa suala la utolipwaji wa mishahara yao.

"Ninaweza kukuhakisha kwamba takriban wachezaji kumi wenzangu wameanza mazungumzo za kujiunga na klabu zingine. Mawazo yao yapo kwingine kabisa sio Gor tena. Kila mtu anataka kuondoka," kafichua mchezaji mmoja anayeunda kikosi cha kwanza, ambaye naye vile vile yupo kwenye mkakati huo.

Kulingana naye kikosi hakina morali kabisa huku kila mmoja wao mawazo yake yakiwa kwingine kabisa sababu kubwa utolipwaji wa mshahara wao kwa miezi minne sasa.

"Tumepewa ahadi chungu nzima za kutulipa lakini wapi. KIla siku tunazungushwa tu na menejimenti. Imefikia hataua kwamba hata kupata maji ya kunywa tu wakati wa mazoezi ni tatizo. Sasa kama hiyo imekuwa changamto sembuse kulipwa fedha zetu," mchezaji huyo kaongeza.

Mpaka sasa Gor hawajashinda mechi zao saba za mwisho za ligi kuu iliyosalia na mechi sita msimu ufike mwisho.

Presha sasa imeanza kumwandama mwenyekiti Ambrose Rachier ambaye ameendelea kugandia uongozini kwa mwaka wa 12 sasa.

Vile vile meneja wa timu Jolawi Abondo ambaye kadumu na kikosi hicho kwa zaidi ya miaka saba naye kanyooshewa kidole cha lawama. Sasa mashabiki wanawataka viongozi hawa wajitoe Gor.

Haya yanajiri wakati pia CAF imewakazia Gor kuhusu ushiriki wao wa dimba la Confederation Cup msimu ujao. Ili kushiriki wanatakiwa kumlipa wing'a Dicsion Ambundo aliyewashtaki FIFA, fidia yake ya Sh1.8 milioni kwa kumvunjia mkataba bila kufuata utaratibu mwafaka. Bado hawajafanya hivyo.

Gor aidha walipigwa marufuku ya kufanya usajili na FIFA kwa sababu ya kushindwa kuwalipa wachezaji wake ilivyowavunjia mikataba yao fidia zao.

Gor-Mahia-team-bus.jpg
 
Ni wazi Tanzania ndiye Kinara wa Soka hapa Africa Mashariki, Kuanzia ngazi za vilabu, Viwanja hadi ligi yeyewe kwa ujumla,
Wachezaji mahiri wa ukanda huu ndoto zao ni kucheza Vilabu vya Tanzania hasa Simba, Azam, Yanga NK,
Kuna wakati Yanga aka Utopolo ilipitia wakati mgumu sana kiuchumi lakini Haikuwahi kufikia kiwango hiki cha ufukara cha Gor Mahia ambayo ndiyo timu Namba 1 Kenya,

___________________________________________
MAJI yamewafika Gor Mahia shingoni. Taarifa za utendeti tulizonasa zinaarifu zaidi ya wachezaji 10 wanaounda 'First 11' wanajipanga kuigura klabu hiyo kutoroka msoto.
Nyufa ya kwanza kwenye ukuta wa Gor ulianza kwa kocha Mreno Carlos Vaz Pinto kuondoka ghafla baada ya kuvunja mkataba wake. Hakuwa amelipwa mshahara wake wa miezi minne kufikia wakati anaondoka.
Kisha akafuata kiungo tegemeo Kenneth Muguna aliyejiunga na Azam FC ya Tanzania halafu beki wao tegemeo Charles Momanyi aliyejiunga na Tusker hivi majuzi.
Sasa hakuna anayetaka kubaki baada ya miamba hao kuondoka huku wachezaji wenzao wa kikosi cha kwanza nao wakijipanga kujitoa. Tatizo kubwa limekuwa suala la utolipwaji wa mishahara yao.
"Ninaweza kukuhakisha kwamba takriban wachezaji kumi wenzangu wameanza mazungumzo za kujiunga na klabu zingine. Mawazo yao yapo kwingine kabisa sio Gor tena. Kila mtu anataka kuondoka," kafichua mchezaji mmoja anayeunda kikosi cha kwanza, ambaye naye vile vile yupo kwenye mkakati huo.
Kulingana naye kikosi hakina morali kabisa huku kila mmoja wao mawazo yake yakiwa kwingine kabisa sababu kubwa utolipwaji wa mshahara wao kwa miezi minne sasa.
"Tumepewa ahadi chungu nzima za kutulipa lakini wapi. KIla siku tunazungushwa tu na menejimenti. Imefikia hataua kwamba hata kupata maji ya kunywa tu wakati wa mazoezi ni tatizo. Sasa kama hiyo imekuwa changamto sembuse kulipwa fedha zetu," mchezaji huyo kaongeza.
Mpaka sasa Gor hawajashinda mechi zao saba za mwisho za ligi kuu iliyosalia na mechi sita msimu ufike mwisho.
Presha sasa imeanza kumwandama mwenyekiti Ambrose Rachier ambaye ameendelea kugandia uongozini kwa mwaka wa 12 sasa. Vile vile meneja wa timu Jolawi Abondo ambaye kadumu na kikosi hicho kwa zaidi ya miaka saba naye kanyooshewa kidole cha lawama. Sasa mashabiki wanawataka viongozi hawa wajitoe Gor.
Haya yanajiri wakati pia CAF imewakazia Gor kuhusu ushiriki wao wa dimba la Confederation Cup msimu ujao. Ili kushiriki wanatakiwa kumlipa wing'a Dicsion Ambundo aliyewashtaki FIFA, fidia yake ya Sh1.8 milioni kwa kumvunjia mkataba bila kufuata utaratibu mwafaka. Bado hawajafanya hivyo.
Gor aidha walipigwa marufuku ya kufanya usajili na FIFA kwa sababu ya kushindwa kuwalipa wachezaji wake ilivyowavunjia mikataba yao fidia zao.

View attachment 1872371
Na matatizo yote iliyonayo Gor mahia bado anamlainisha simba visawasawa
 
Hata Ruvu simetimes Shooting huwa inaifunga Simba, hata Coastal Union sometimes wanapiga yanga 2 Nil,
Hata timu za daraja la pili uingereza humfunga Man U, that doesn't make them better,
Simba ni timu kubwa haifai kukaa sentensi moja na Gor Mahai
 
Who told you so?....kwa sport tz haijulikani popote
 
Hata Ruvu simetimes Shooting huwa inaifunga Simba, hata Coastal Union sometimes wanapiga yanga 2 Nil,
Hata timu za daraja la pili uingereza humfunga Man U, that doesn't make them better,
Simba ni timu kubwa haifai kukaa sentensi moja na Gor Mahai
Hahaha mzee mbona unaongea matope hivi? Gor walikukosea wapi?
 
Hahah, if Gor can't afford buying water for its players how can they be compared to Simba, one among big clubs in the Continent?
 
Nchi ya soka na ata kupeleka team Olympics for soka hawawezi qualify.
Nchi ya one sport duni.
 
Heheh, mashindano makubwa ya soka ni yale ya FIFA na CAF, if your clubs aren't doing well here it means you are having an amateur league, and kenya's so called premier league is no more than amateur, just like a South Sudanese Premier League.
 
Same case your one sport Nation haijulikani FIFA.

ata hii boxing huwa mnajisifu nayo sijaona anyone from Tanzania.

Failed STATE.
 
Ati hiii caf ya upuzi hamjawahi fika quarters mybe 16th round pia.
Waaah pambana na vitu natural like Serengeti,kilimanjaro etc.
 
See this, the Leeague has disposable cash to sign your best players for Women Premoer League yet your No 1 club can't afford water for players,
What a shame, hiyo mido inkamu ni ya Kibera??
Screenshot_20210729-161220_Twitter.jpg
 
Kushindanisha ligi ya TZ kwa sasa na ya KENYA, ni kupoteza muda... Kenya hakuna mpira tena ni sawa na Somalia ama Djibouti.. soka lao limeporomoka sana hata ukiangalia viwanjani mashabiki hawajitokezi tena kama ilivyokuwa miaka ya mwanzo mwa 2000. Viongozi wa soka wanapaswa kufanya jambo.
 
Back
Top Bottom