Top professional boxers like Hassan Mwakinyo won't participate in random tournaments like Olympic.Same case your one sport Nation haijulikani FIFA.
ata hii boxing huwa mnajisifu nayo sijaona anyone from Tanzania.
Failed STATE.
Nyinyi hamko vizuri kwenye mchezo wa kandanda. Sijui unatusumbua nini hapa. Timu ya Tanzania haijawahi kuqualify kuenda world cup ya mpira. Nyinyi ni watoto kwenye mchezo huu. West Africans ndio mabingwa kwenye mchezo huu. Usituone wajinga. Huwa mnapigwa kwenye soka. Hata Kenya imepiga timu ya Tanzania mara nyingi na nimetazama mechi hizo. Tafuta mtu wa kudanganya.Heheh, mashindano makubwa ya soka ni yale ya FIFA na CAF, if your clubs aren't doing well here it means you are having an amateur league, and kenya's so called premier league is no more than amateur, just like a South Sudanese Premier League.
Mna boxers wangapi ambao wanashikilia mishipi ya WBA, WBO, IBF au WBC? Usituone wajinga Mr. Sisi wote hapa ni watu wazima na tunajua nchi ambazo zipo vizuri mwenye mchezo wa Ndondi. Nyinyi hamko huko.Top professional boxers like Hassan Mwakinyo won't participate in random tournaments like Olympic.
Mind you we have a good number of professional Boxers..
Acha ufalaAti hiii caf ya upuzi hamjawahi fika quarters mybe 16th round pia.
Waaah pambana na vitu natural like Serengeti,kilimanjaro etc.
Sikatai West na North kwa historia ndio Vinara wa soka, but now things are shifting East and South, and for East Africa sisi ni Vinara.Nyinyi hamko vizuri kwenye mchezo wa kandanda. Sijui unatusumbua nini hapa. Timu ya Tanzania haijawahi kuqualify kuenda world cup ya mpira. Nyinyi ni watoto kwenye mchezo huu. West Africans ndio mabingwa kwenye mchezo huu. Usituone wajinga. Huwa mnapigwa kwenye soka. Hata Kenya imepiga timu ya Tanzania mara nyingi na nimetazama mechi hizo. Tafuta mtu wa kudanganya.
Count yourself, where are the Kenyans ??[emoji3]Mna boxers wangapi ambao wanashikilia mishipi ya WBA, WBO, IBF au WBC? Usituone wajinga Mr. Sisi wote hapa ni watu wazima na tunajua nchi ambazo zipo vizuri mwenye mchezo wa Ndondi. Nyinyi hamko huko.
Boss kwa kandanda hatujali mna pesa ngapi. Sisi tunajali mna vikombe vingapi. Hapa barani Afrika East Afrika haijawahi kushinda kikombe chochote cha World cup au African cup of nations. Angalau south wako vizuri kidogo maana Zambia wamewahi kushinda African cup of nations. Kama nilivyokuambia mambo ya mpira hata sisi ni wajuzi. Tunaifahamu historia ya mpira ndani nje. Huwezi kutudanganya. East Afrika ipo zero kwenye mpira.Sikatai West na North kwa historia ndio Vinara wa soka, but now things are shifting East and South, and for East Africa sisi ni Vinara.
Imagine
Just imagine as we speak Simba has a deal on table just to confirm the transfer deal for their Mozambican midfielder Luis Miquiosone to El Ahly kwa $2m
And Simba may turn it down [emoji3][emoji3][emoji3]
That is a season budget for your KPL [emoji3]
View attachment 1872994
Nimekuuliza swali. Mna belts ngapi? Swali rahisi tu unashindwa kujibu.Count yourself, where are the Kenyans ??[emoji3]View attachment 1873007View attachment 1873009
Unaringa eti mna pesa ila huwa mnapigwa kila siku na timu za nchi zingine. Hata timu za Kenya huwa zinawafinya.This is U20 PL,
Imagine with sstadium to almost full Capacity,
Timu namba moja kwa majirani hata hela ya maji hakuna, njaa tupu na ufukara,
They roam in this Nganya attached.View attachment 1873018View attachment 1873024
Maskini jeuri nyinyi [emoji23][emoji23][emoji706]This is U20 PL,
Imagine with sstadium to almost full Capacity,
Timu namba moja kwa majirani hata hela ya maji hakuna, njaa tupu na ufukara,
They roam in this Nganya attached.View attachment 1873018View attachment 1873024
Hakuna siku Tanzania imewahikuwa mbele ya Kenya kwa chochote [emoji706][emoji706]Naona Nyang'aus na Danganyikas wanabishana tu hapa kujipa ujiko wakati wenye mpira wao FIFA wamerank:-
1.Uganda
2.Kenya
3.Tanzania
Uganda Ni ya 84 duniani, Kenya ya 102 na Tanzania ya 137. Hivyo basi Uganda ndo namba Moja Afrika Mashariki, hakuna haja ya kujipa ujiko and topic closed.
Timu gani zinatupiga, Simba haijapoteza Mechi hata Moja Uwanja wa Nyumbani for more than 4 years while playing against any African Champion that ever Landed to Tanzania, Simba ni timu Kubwa yenye clean sheet bro.Unaringa eti mna pesa ila huwa mnapigwa kila siku na timu za nchi zingine. Hata timu za Kenya huwa zinawafinya.
Hizi ni dalili mujarabu za kudataNa matatizo yote iliyonayo Gor mahia bado anamlainisha simba visawasawa
Lakini haijashinda kikombe chochote cha kimataifa sio?Timu gani zinatupiga, Simba haijapoteza Mechi hata Moja Uwanja wa Nyumbani for more than 4 years while playing against any African Champion that ever Landed to Tanzania, Simba ni timu Kubwa yenye clean sheet bro.
View attachment 1873091View attachment 1873093View attachment 1873094View attachment 1873101View attachment 1873102